Mimi thread zangu ni check and balance kati ya Awamu ya Sita na ile ya Tano, leo ngome ya vijana ya ACT wazalendo ilipanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa mama yao kipenzi rafiki wa demokrasia, diplomasia na maendeleo aliyekuja kuwapa uhuru walio ukosa kwa miaka sita ya Magufuli.
Wamekutana...
FAIDA ZIPATIKANAZO KWA KULA MAGANDA YA NDIZI MBIVU
Watu Hula Maganda ya Ndizi.
Wewe Unazijua Faida Zake?
How healthy are bananas? Bananas are rich in Vitamin B6 and a good source of fiber, vitamin c, magnesium and potassium.
Bila shaka hujawahi kuona mtu akila maganda ya ndizi kutokana na...
Imamu aliyeteka vichwa vya habari mitandaoni siku za hivi karibuni kupitia video fupi iliyosambaa ikimuonyesha akirukiwa na paka mabegani wakati akiwa anaswalisha swala ya Taraweeh ametunukiwa tuzo.
Tukio hilo ambalo liliibua hisia za watu mbalimbali baada ya kumuonesha Imam huyo kutoonyesha...
Shule ya msingi Sekaza Memorial iliyopo kata ya Kiringente, Wilaya ya Mpigi nchini Uganda imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia taarifa kuwa kuna mapepo yanawashambulia wanafunzi.
Uongozi wa shule hiyo umesema baadhi ya wanafunzi katika wiki kadhaa zilizopita hawakuweza kuhudhuria masomo...
MAZIWA YA NG'OMBE HALISI NA UNGA WA KARAFUU NI TIBA YA MARADHI MENGI.
Kijiko kidogo cha Unga wa karafuu ya kusaga changanya na glasi moja ya maziwa chemsha kwa dakika 5 Kisha Kunywa kwa kila siku 1X3 kabla ya kula kitu tumboni kwa siku 21 au siku 31 inatibu Maradhi haya hapo chini👇
1-...
Mzee mmoja Salum Mchilowa (kushoto) akimfanyisha mazoezi mgonjwa Ally Said aliyevunjika Mguu Kwa ajali ya pikipiki Mtwara Mjini. Picha na Florence Sanawa
Mzee mmoja mkazi wa Kijiji cha Kilomba, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ambaye ni mganga wa tiba asilia, Salum Mchilowa amesema kuwa amekuwa...
Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kuwa nyoka mkubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya ampende yeye tu.
Mwanamke huyo alitaka mumewe kushinda nyambani kwa ajili yake peke yake ndipo akamua kwenda kwa mganga wa kienyeji kupewa dawa ya mapenzi (Limbwata).
Alipofika nyumbani...
Madaktari na wataalamu wa afya wanashauri mama mjamzito kufanya mazoezi mepesi kwa muda wa dakika 10 mpaka 30 kila siku ili kuimarisha misuli, mzunguko wa damu, viungo vya uzazi na kupunguza uzito. Zifuatazo ni faida anazozipata mama mjamzito iwapo atafanya mazoezi
1. Mazoezi hupunguza maumivu...
1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na shinikizo la damu. Ila kula mara kwa mara itasababisha kuongezeka uzito.
2. Samaki kutoa baharini, asa wenye magamba ambao huwa na virutubisho vya zinc vinavyosaidia kuimarisha...
Vifuatavyo ni vyakula muhimu sana kwa afya ya mwili wako ambavyo ukizidisha vinaweza kuwa hatari sana na kukusababishia maradhi mbali mbali.
1. Nyama ukila nyama kupita kiasi husababisha kiasi kikubwa cha protein na vichochezi vya ukuaji mwilini ambavyo huongeza kasi ya kuzeeka na hatari ya...
Kama unaumwa halafu unaota ndoto hizi na unakwenda hospitali na huponi maradhi yako .basi hospital usiache lakini kimbilia tiba za upande mwingine. Yaani za kidini ama kiasili.
1. Kuota umepotea njia.
2. Kuota marehemu unaowajua wanakuita sehemu nzuri lakini wewe hutaki ama mtu anakuzuia.
3...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maazi Chukwudiaso Onyema ametoa maagizo hayo ya pesa alizotoa kwa miaka miaka mingi akidai hana nia ya kwenda mbinguni kama ilivyokuwa awali
Onyema amerekodi video akilitaka Kanisa la Dunamis International kutimiza kile anachokitaka kwa kuwa alifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.