Hii ndio hali ya Johannesburg, Afrika ya Kusini. Tusipochukua hatua za haraka na madhubuti, hali hii itafika kwetu, tunamuomba Mwenyezi Mungu SUbhana Wataala atunusuru.. TUMUOMBE MUNGU ATULINDIE VIJANA WETU AMIN
Muigizaji nyota wa Bongo Movie nchini, Coletha Raymond amesema kuwa wanaume wengi wa kizazi hiki wanapenda sana kulelewa na wanawake waliowazidi umri.
Coletha akaongeza kwa kusema kuwa, pia kuna wanawake watu wazima ambao wanapenda mambo ya style mpya ambazo vijana wa kizazi hiki ndiyo...
"Siku hadi siku Wachungaji wanamiminika, najiuliza hivi imekuwa ni biashara? Na kama ni biashara wanadhani kufanya mzaha na hisia za watu wanaomtafuta Mungu kwa gharama yoyote wanawatendea haki?"- Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere.
“Ameenda mbinguni kwa andiko lipi? Tunarudi kwenye Biblia, inasema juu ya habari ya kwenda mbinguni, aliyeenda mbinguni kwa mara ya mwisho ni Yesu nae alibadilishwa sio kwa mwili huu wa chipsi na soseji. Hiyo ni changamoto ya afya ya akili."- Mchungaji Richard Hananja
Muktasari:
Kifupi, kama unadhani kuwa tiba na kinga za maradhi ni vidonge na sindano pekee, basi umepotea, ulizia tena upya maana binadamu ameumbwa kwa namna ya ajabu sana na anapopatwa na maradhi basi huhitaji tiba za aina nyingi sana kama vile tiba ya maji (Hydrotherapy) tiba ya kupakwa...
KUWENI MAKINI NA MCHANGA WA KABURINI:
Kuna watu wamepata nuksi, mikosi na mabalaa makubwa katika maisha yao kwa sababu ya matumizi ya mchanga wa makaburini bila kuzingatia au kufuata maelekezo.
Unapokuwa unafanya kitu chochote kile kinacho husiana ama kuyahusisha makaburi kwa namna moja au...
Eric R. Holder, Jr. amekutwa na hatia ya kufanya mauaji ya mwanamuziki ambaye jina lake halisi ni Ermias Asghedom tukio lililotokea Mwaka 2019, Los Angeles.
Hussle alikuwa baba wa watoto wawili aliowapata na nyita wa filamu, Lauren London, aliuawa akiwa na umri wa miaka 33 katika tukio ambalo...
Paroko wa Parokia ya Narumu, kata ya Machame Mashariki mkoani Kilimanjaro, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita baada ya mtu/watu wasiojulikana kuiba kapu la sadaka Kanisani na kuwataka Waamuni kusali sala maalum kwa siku 3.
Rais wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa 66 wa Mambo ya Nje wa Marekani Dk. Condoleezza Rice na mfanyabiashara Bill Gates leo Februari 24, 2023 wataungana na Rais Mstaafu wa Marekani George W. Bush katika sherehe za kuadhimisha miaka 20 ya...
R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo.
Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa.
Waendesha mashtaka...
Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo.
Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
adolf mkenda
amavubi gfsonwin
elimu
ikulu
king'asti asprin
kusikitisha
kwenda
madarasa
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
rais
rais samia
ukatili
ukosefu wa madawati
video
wanafunzi
watoto wetu
waziri
yanga
Pamezuka mjadala kuhusu ukubwa wa gharama za kukarabati MV Magogoni na hasa ukilinganisha na gharama za Kivuko kipya.
Wengi wanadai ni heri kinunuliwe kivuko kipya.
TEMESA yafafanua:
MV Magogoni kilinunuliwa kwa Euro 5,287,800 Sawa na Tsh 9.3 billion Mwaka 2008, exchange rate ikiwa Euro 1 =...
Watoto 12 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na surua katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi kusini magharibi mwa Tanzania .
Kati ya kipindi cha mwezi wa 12 mwaka jana hadi kufikia mwezi wa pili mwaka huu watoto 847 wameambukizwa surua kwenye wilaya hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Mlele Majid Mwanga...
"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
====
Rais Mwinyi...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Ankara inaweza kukubali Finland kujiunga na Nato, lakini si Sweden.
Alikosoa hatua ya Uswidi kukataa kuwarejesha makumi ya watu wanaodaiwa kufungwa kwa makundi ya wapiganaji wa Kikurdi na wakosoaji wengine wa serikali yake.
"Ikiwa unataka...
Copy na ku-paste, Mimi sio mwandishi
Mwambie anipigie ni mimi mama yake! Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana.
Mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.