kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia" Sehemu muhimu zaidi za hotuba yake ya leo: - Tuna intel kwamba Jeshi la Anga la Israeli linafanya mazoezi huko Kupro...
  2. F

    Mheshimiwa January Makamba ni kiongozi mbunifu mno mweye kuiona fursa adhimu

    Waziri huyu kila wizara aitumikiayo huja na maono endelevu na kuacha alama. Alipokuwa nishati alibuni mambo mengi ikiwa ni pamoja na ugavi wa mitungi ya gesi bure. Gesi ikiisha ni lazima baadhi ya wagaiwa watanunua tena hata ikiwa hawakuwa na utamaduni wa kutumia gesi. Sasa akiwa waziri wa nje...
  3. Spika wewe ni kiongozi wa Mhimili wa Bunge, iache Serikali ijipambanie yenyewe sakata la sukari

    Katika hili sakata, 1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
  4. R

    HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
  5. M

    Kiongozi wa upinzani wa Israel ataka kuuzuliwa Netanyahu

    Kinara wa upinzani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema wakati umefika wa kuiangusha serikali ya utawala huo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu. Yair Lapid amesema hayo na kuongeza kuwa, utawala wa Netanyahu unapasa kuangushwa kwa namna unavyoendeshwa...
  6. D

    Makonda hafai kuwa kiongozi kabisa. Uongozi unahitaji busara na hekima kama Rais Samia alivyo

    Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa. Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa tunaishi kama vile tuko motoni. Ukiamka hijui kama leo ni zami yako kutekwa au la. Hata information muhimu...
  7. E

    SoC04 Zifuatazo ni vigezo vya kiongozi bora

    Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa kusaini mikataba mbalimbali ambayo inahitaji kusoma na kuandika kwa manufaa ya pamoja ya wananchi...
  8. Murtaza Mangungu: Kiongozi pekee anayeweza kuipa ubingwa wa Africa timu ya Simba

    Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana. Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
  9. Kiongozi mwingine wa Hezbollah auawa

    Mabikira wanaendelea kupungua kule akhera.... A senior Hezbollah official was eliminated in a strike in the village of Jennata in southern Lebanon's Tyre District Thursday night, Saudi news sources Al-Arabiya and Al-Hadath reported. Other than the Hezbollah official, another person was killed...
  10. SoC04 KIONGOZI BORA WA KESHO: Mchakato wa kuwapata viongozi bora Tanzania kwa miaka 25 ijayo

    1.0 UTANGULIZI KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna mbalimbali kama vile kuchaguliwa, kuteuliwa au kurithi. Kuna aina kuu mbili za viongozi ambazo ni kwanza...
  11. Kua kiongozi wa simba ni kazi ngumu sana

    https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
  12. R

    Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  13. K

    Pamoja na mapungufu yake sijaona kiongozi afadhali kwa sasa CCM!

    Hivi karibuni nimekuwa nikipinga sana kushidwa kwa Raisi Samia kwenye kuleta katiba, sheria mbaya ya uchaguzi, uhusiano unao dorora kwa upinzani, mikataba ya sirisiri na kutokutumia nafasi vizuri. Lakini kwa vigogo wa sasa wa CCM na hawa mawaziri wake hakuna mtu hata mmoja ambaye ni afadhali...
  14. R

    Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

    Salaam, Shalom! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa? Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa...
  15. Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  16. D

    Ukiona kiongozi yoyote mng'ang'ania madaraka Duniani, ujue ana asili ya Afrika

  17. Makonda ampa Kiongozi wa Ardhi dakika 5 kutoa hati ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
  18. Ebrahim Raisi atakumbukwa kama kiongozi jasiri zaidi wa Iran aliyeikuza nchi yake kiteknolojia

    Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
  19. G

    Tuunde ofisi ya kiongozi mkuu wa taifa (ayatollah wa taifa) ambaye atakuwa ndiye "brake" ya rais

    Sifa zake:- 1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote. 2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10). Majukumu yake. 1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama ubinafsishai wa rasilimali za nchi. 2. Kumpa ushauri rais juu ya masuala yote yahusuyo nchi. 3. Kumuwajibisha...
  20. U

    Breaking Kiongozi Mkuu wa kigaidi auawa huko Rafah na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam Khamayseh alikuwa anasakwa na IDF Kwa muda mrefu kwa mauaji aliyofanya Mungu ibariki Israel IDF kills...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…