Je, unajua hadithi iliyo nyuma ya picha hii ya kitambo?
Mnamo Mei 16, 2021, utawala wa Israel ulishambulia kwa bomu nyumba ya Yahya Sinwar iliyoko Khan Yunis, kwa nia ya kumuua. Vyombo vya habari vya Kiebrania viliripoti kwa ujasiri kwamba misheni hiyo ilifanikiwa na kwamba walikuwa wamemwondoa...
Ile kampeni ya kuua viongozi na makamanda wa makundi pinzani kwa utawala wa Israel bado haijaonekana kufanya kazi kama ilivyokusudiwa.
Raisi Ibrahim raisi wa Iran alifariki kwenye ajali ya ndege miezi 2 iliyopita.Katika uhai wake hakuwa na mzaha na utawala wa kiyahudi huko Israel.Yeye ndiye...
MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
Hezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la kushtukiza katika maficho yake mjini Beirut, Lebanon Jumanne tarehe 30, Julai 2024.
Shambulizi la anga...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege.
IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...
Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa.
Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas
Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa
Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako.
Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani.
Ubarikiwe...
Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo
Yaani haiwezekani mtumishi wa...
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
afrika
kiongozi
kodi
mabaya
magari
masikini
matumizi
matumizi mabaya
matumizi mabaya ya kodi
mchezo
msafara
msafara wa rais
nchi
nchi masikini
rais
rais samia
rais wa nchi
samia
tozo
video
vyoo
wahisani
wake
wananchi
KIchwa cha habari kimejieleza tayari punda haendi bila mijeledi utawala wa awamu ya tano ulikuwa bora sana kuwahi kutokea nchi hii kulikua na heshima sana husikii nguchiro anapiga kelele!
Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu,
Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa wananchi?
Utazingatia Elimu, umakini, uadilifu, umahiri, maelezo na ushawishi wa mgombea kwenye...
Kawahishwa kwa mabikira....
The scene of an Israeli drone strike near the town of Shaat, in Lebanon's Baalbek district, July 6, 2024. (Social media; used in accordance with Clause 27a of the Copyright Law)
A prominent member of the Hezbollah terror group’s air defense unit was killed in an...
Salaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
Salaam, Shalom!!
Ukihesabu ziara alizofanya kiongozi wetu mkuu, Mwanza na Kanda ya ziwa Kwa ujumla, amekwenda mara nyingi zaidi kuliko maeneo mengine,
Wananchi tunajiuliza, katika mikoa 26 nchini, Kanda ya ziwa pekee ndio Kuna wananchi?
Mikoa ya Lindi na mtwara pia Kuna wananchi na kumepoa...
Nimetumia jina MAMA SAMIA, Sina maana kubwa ya kumtumia kwenye maudhui yangu lahasha , Lakini kama kiwakilishi kuonesha kiongozi wa juu kabisa katika ngazi ya uongozi, Sawasawa na ningetumia jina
Joe Baiden Rais wa Marekani, Xi Jinping Rais wa China, Vladimir Putin Rais wa Urusi sawa sawa na...
Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe?
Katika maisha ya sasa na siasa mwanasiasa anasimamia Sera za nchi mkulima anavunja Sera za nchi kumlisha mtunga sera za nchi nikiwa na maana kwamba mwanasiasa au kiongozi yeyote anasimamia Sera za nchi na kumnyima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.