kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. HIMARS

    Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

    Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri. Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule. Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
  2. G

    Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

    Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake. Hezbollah...
  3. kibori nangai

    Kiongozi mwingine wa Magaidi kafyekelewa mbali leo huko Beirut makao makuu ya Isbollah Lebano

    Wakuuu hizi ndio habari duniania Israel 🇮🇱 kupitia kikosi makini kabisa Imelipua makao makuu ya Isbollah mjini Beirut Lebanon 🇱🇧 Ikaenda na kichwa cha mkuu wao leo Huku Waziri mkuu mwenye akili kuliko wote duniani Benjamin Netanyahu Akiambia dunia Ukitupiga tunakupiga ,hakuna sehemu katka...
  4. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  5. sonofobia

    Alikuwa wapi kiongozi wa BAVICHA taifa, John Pambalu wakati wa maandamano?

    Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John Pambalu akijiusisha kwa lolote kuanzia kwenye hamasa mpaka ushiriki. Chadema kuna shida kubwa sana.
  6. Kikwava

    Ukiwa kiongozi wa umma wewe ni mtumishi wetu pokea Simu za Wananchi wako

    Sijui Ni desturi yetu sisi waafrica. Unakuta kiongozi hapokei simu na ukizingatia kabla ya uteuzi au kuwa kiongozi simu alikuwa anapokea Ila baada tu ya kuwa kiongozi simu hapokei. Viongozi wetu ukiwa mbunge, waziri, DC, RC, au naibu waziri, tunaomba simu ikiita hata Kama huna muda kwa wakati...
  7. S.M.P2503

    Rais Samia Suluhu pamoja na taasisi zako za haki: Tafadhali, waache Chadema wafanye maandamano yao. Wape ulinzi, kwani wewe ni kiongozi wa wote

    Nakuita kwa jina la Jamhuri ya Muungano wetu mheshimiwa Raisi. Waache hawa Chadema na Wananchi wengine waandamane. -Wape ulinzi, -Hakuna kitakacho haribika -utaithibitishia dunia kuhusu zile 4R -utapunguza malumbano ya kulilia haki. Baada ya Maandamano: Baaada ya Maandamano, utajitokeza na...
  8. G

    Kina mama wengi chanzo cha watoto kutowathamini kina baba, Hawatimizi jukumu lao la msingi kuwakumbusha watoto baba ni kiongozi na nahodha wa family

    Kama ilivyo kawaida, Watoto wengi wanakuwa upande wa mama kwajili ya huruma aliyoumbiwa kwa asili, Kitu hiki kimekuwa kikiwapa wanawake nguvu na influence kubwa sana juu ya watoto, Lakini wanasahau kwa maksudi kabisa jukumu lao muhimu la kuwakumbusha watoto "Muwe karibu yangu na mdeke mnavyotaka...
  9. G

    Watoto msiwasasahau baba zenu, mlideka kwa kwa mama lakini huruma sio malezi, Jukumu la baba kuwa kiongozi hapa Afrika sio jambo jepesi.

    Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
  10. Gemini AI

    Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  11. U

    Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  12. kipara kipya

    Sauti yenye mamlaka walifikiri nchi haina kiongozi!

    Niseme ukweli tu Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jemedari mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama tangu aingie madarakani ile hotuba ya jana ndio hotuba bora zaidi kupata kuitoa ikizidi ile ya siku ya kuapishwa kwake. Amenifurahisha kwa kuudhirishia umma kuwa nchi ina raisi mmoja tu...
  13. A

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Sifa za Kiongozi Bora: Zitakusaidia Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ___________________ 1. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 2. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo! Maneno na hali ya...
  14. L

    Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya...
  15. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Ni Kiongozi Makini Na hodari sana kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya hivi kwa sababu inatambua kuwa CCM ndio moyo wa Nchi,ndio itoayo Dira na muelekeo wa Taifa letu...
  16. Mganguzi

    Pre GE2025 Hatutamchagua kiongozi yeyote kwa sababu ya kujenga madaraja na mashule ama mahospitali ,tutamchagua kwa ajili ya kulinda uhai wetu na watoto wetu ,

    Hali inakoelekea tunakosa mtu sahihi wa kusimama nasisi ikiwa kiongozi anasema hajui chochote hata wakati ambao raia wake wanauwawa hafai kuchaguliwa hata kama atafanya maendeleo makubwa namna gani! Kiongozi aliyetayari kulinda cheo chake kulikoni kulinda uhai wa raia wake si tu kwamba...
  17. TheMaster

    Kwa kauli hii ya Hussein Bashe angekuwa kiongozi mwingine angekuwa ameshatenguliwa

    Kauli Chonganishi ya waziri wa kilimo Hussein Bashe kuhusu wananchi wa jimbo la kisesa, Jimbo halali lililo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake ni wananchi halali wa Taifa hili kuwa hatowapekekea pembejeo za kilimo, ni kauli tata, ngumu na isiyovumilika hata kidogo. Huko...
  18. kimsboy

    Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  19. K

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  20. trojan92

    Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
Back
Top Bottom