Salaam, shalom!!
Nimefuatilia hotuba fupi ya RC wa Arusha, ilijaa utulivu na mtiririko uliopangika kabisa, hivyo kusema kuwa aliropoka, Si Kweli, alidhamiria kusema aliyosema,
Tangu Mropokaji yule achafue Hali ya hewa majuzi, Waziri wa habari hakusema chochote, waziri wa Mambo ya nje...