WanaJF,
Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka...
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kusikitishwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini, Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini, Mkoani Manyara.
Taarifa ya UWT kwa umma imesema Umoja huo hautavumilia kiongozi yeyote mwanamke...
Umeme kuwa wa mgawo katika nchi kunakimbiza wawekezaji na kuua biashara za watu ikiwemo mitambo.
Katika hali ya kawaida na katika kulinda taswira ya uwekezaji nchini si Busara kiongozi kutoka adharani na kujitetea kuhusu umeme kukatika. Busara na hekima za kiongozi nikujifungia na safu yake na...
Salaam.
Ama baada ya salamu mimi ni mzima, bukheri wa siha njema. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Nakutakia weekend njema.
Leo nataka nikuonyeshe tu kwa kidogo ni jinsi gani shetani amekuwa akitumia dini na vitabu vitakatifu kujinufaisha yeye zaidi kuliko kambi...
A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
Sayyed Nasrallah: The Victory is coming, our generations will witness the liberation of Al-Quds and will pray at Al-Aqsa
Live News
15:53Sayyed Nasrallah: One of the major aims behind the Israeli crimes is to subdue the people of the region
15:51Sayyed Nasrallah: Israeli enemy flagrantly...
Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani.
Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au...
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia!
Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo!
Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua.
Camara na wenzake walifikishwa...
Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM.
Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI.
Na Thadei Ole Mushi
1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
Waungwana wa JF nawasalimu,
Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko...
Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki.
Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake?
Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
Tumekuwa na ombwe kubwa la uongozi wa nchi yetu tangu awamu ya sita ichukue hatamu.
Kuhamisha wamaasai kutoka Loliondo ili kuwakabidhi Waarabu kipande cha ardhi kumezalisha shinikizo la jumuiya za utetezi wa Haki za binadamu.
Rais anayeshikiza kumtoa Spika madarakani kwa kutoa maoni yake juu...
Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo ulioonyeshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na hatua hayo ya kulipigia kura ya turufu azimio lililopendekezwa na Marekani la kuuunga mkono utawala vamizi wa...
Namwambia rafiki yangu mpita njia kwamba zama zimebadilika, malaika anaetawala sasa ni malaika wa kheri. Watu wanaenda wapendako na wanalala wanapotaka wao. Enzi za kumiliki vikosi na magenge ya wahuni zimepita, hazipo tena.
Nakwambia wewe rafiki yangu mpita njia kwamba, zama za kutishia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.