kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Taja kiongozi ambaye hayupo kwenye historia yetu unataka nchi imtambue

    WanaJF, Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka...
  2. Nimeumia sana baada ya kumuona huyu kiongozi katika hali hii!

  3. UWT watoa tamko kuhusu Pauline Gekul, yasema haitamvumilia kiongozi yeyote mwanamke anayekiuka Haki za Binadamu

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kusikitishwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini, Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini, Mkoani Manyara. Taarifa ya UWT kwa umma imesema Umoja huo hautavumilia kiongozi yeyote mwanamke...
  4. R

    Kwanini kiongozi ajivunie umeme kuwa wa mgao?

    Umeme kuwa wa mgawo katika nchi kunakimbiza wawekezaji na kuua biashara za watu ikiwemo mitambo. Katika hali ya kawaida na katika kulinda taswira ya uwekezaji nchini si Busara kiongozi kutoka adharani na kujitetea kuhusu umeme kukatika. Busara na hekima za kiongozi nikujifungia na safu yake na...
  5. Kwa sasa shetani ndiyo Kiongozi Mkuu wa DINI zote

    Salaam. Ama baada ya salamu mimi ni mzima, bukheri wa siha njema. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Nakutakia weekend njema. Leo nataka nikuonyeshe tu kwa kidogo ni jinsi gani shetani amekuwa akitumia dini na vitabu vitakatifu kujinufaisha yeye zaidi kuliko kambi...
  6. Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  7. M

    Kiongozi wa Hisbullah aongea kuhusu kuivamia Tele Aviv

    Sayyed Nasrallah: The Victory is coming, our generations will witness the liberation of Al-Quds and will pray at Al-Aqsa Live News 15:53Sayyed Nasrallah: One of the major aims behind the Israeli crimes is to subdue the people of the region 15:51Sayyed Nasrallah: Israeli enemy flagrantly...
  8. Socrates, Plato na Nietzsche: Siyo kila mtu anatakiwa kuwa kiongozi

    Dunia yetu inakwama kwasababu tunakataa uhalisia ambao umekuwepo tokea kitambo, binadamu hatufanani. Kuna wanadamu ambao huzaliwa wakiwa na akili kubwa kuliko wengine, kimtazamo, kiutendaji na ubunifu. Katika vitu ambavyo huwa tunadanganywa ni kwamba kila mwanadamu anaweza kuwa mbunifu au...
  9. Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  10. Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia! Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo! Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
  11. Kiongozi wa Kijeshi na Rais wa zamani wa Guinea atoroshwa Gerezani

    Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua. Camara na wenzake walifikishwa...
  12. Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

    Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi zikaanzishwa humu, mzee wa watu alipopewa mic atangaze vita, akabwatuka mikwara kisha muda wa kulala ulipofika...
  13. Secretariat ya CCM ni kubwa kimamlaka kuliko kiongozi yeyote kasoro Rais tu. Acheni kelele Makonda alikuwa sahihi

    Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM. Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
  14. Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  15. Si sahihi kumpa maagizo Waziri Mkuu hadharani, si kila kiongozi anaweza kupewa maagizo hadharani

    Waungwana wa JF nawasalimu, Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko...
  16. R

    Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  17. Kiongozi asiye na dira huishia kuendesha nchi kupitia mashinikizo

    Tumekuwa na ombwe kubwa la uongozi wa nchi yetu tangu awamu ya sita ichukue hatamu. Kuhamisha wamaasai kutoka Loliondo ili kuwakabidhi Waarabu kipande cha ardhi kumezalisha shinikizo la jumuiya za utetezi wa Haki za binadamu. Rais anayeshikiza kumtoa Spika madarakani kwa kutoa maoni yake juu...
  18. R

    Je, unamwona kiongozi mwadilifu ndani ya CCM kwa sasa?

    CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
  19. M

    Kiongozi HAMAS apongeza msimamo uliooneshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo ulioonyeshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na hatua hayo ya kulipigia kura ya turufu azimio lililopendekezwa na Marekani la kuuunga mkono utawala vamizi wa...
  20. Kiongozi ni yule ambaye mikono yake haina damu, anapoteuliwa watu hufurahia na kujihisi salama. Usirudie makosa!

    Namwambia rafiki yangu mpita njia kwamba zama zimebadilika, malaika anaetawala sasa ni malaika wa kheri. Watu wanaenda wapendako na wanalala wanapotaka wao. Enzi za kumiliki vikosi na magenge ya wahuni zimepita, hazipo tena. Nakwambia wewe rafiki yangu mpita njia kwamba, zama za kutishia watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…