Habarini wakuu ndugu ,@ mshana.
Nlisoma mahali kuwwa kioo sio kitu kizuri, mm chumbani kabati la nguo katikati lina kioo kikubwa sana. Sasa nikilala nakuwa kama sijalalaa yaan nikiamka asubuhi kichwa kimevurugika, kimecgoka nina usingizi balaa na hauishi, sasa nina siku ya 4 nikilala naufungua...