kioo

  1. Podcast

    Msaada bei ya kioo cha PC

    Wakuu, Habari naomba msaada kujua bei ya kioo ha Pc pamoja na charge yake ni HP.
  2. B

    Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

    Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako. Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi. Tujue kwanza kioo hutengenezwa na...
  3. Cute Msangi

    Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Habari zenu Wana JamiiForums, TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu. Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
  4. B4g3g3

    Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

    Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi
  5. Poker

    Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

    Habari za wanga! Muda ni 1:00 usiku wa manane, mbalamwezi na nyota zinaonekana vizuri kabisa. Nimeamua kuzima kabisa main switch, ili kuwe na giza totoro. Nimechukua mahitaji yangu ambayo niliambiwa lazima uwe nayo, yaani kichana, tufani na kioo. Mimi nikaongeza mishumaa, uwaridi nyekundu na...
  6. T

    Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

    Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu Rais Samia ni jasiri...
  7. Hemedy Jr Junior

    Funika kioo wakati wa kulala usiku

    1. Wachawi ukitumia kioo pale ambapo kitakuwa wazi usiku uchukua sura yako na kuenda kuitumikisha kiuchawi. Kwahiyo usishangae mtaani wakawa wanakunyoshea vidole/kidole wakishemezena ujue yule mmama/baba/kaka/dada mchawi kumbe unatumika kiuchawi na we hujijui kisa kioo kukiacha wazi usiku. 2...
  8. Chura

    Natafuta kioo cha TCL Smart Frameless Inch 65

    Habari wakubwa kichwa cha habari chajieleza, napesa mfuko wa shati laki 6 nashida na kioo cha TV Tajwa hapo juu, Deler kaniambia kinauzwa 1.1M kwa kweli nimeshindwa. Kwa mwenye nacho hata cha mchongo isizidi laki 6 anicheki asante.
  9. nyemenowa tindamanyile

    TV yangu (TCL) ilipata hitilafu ya kioo kupata wingu linalokera

    Tv ilipata hitilafu ya kioo (ona picha) kupata wingu linalokera japo picha na sauti vinapatikana Mafundi, je lina utatuzi?
  10. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  11. EvilSpirit

    Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

    Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
  12. M

    INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
  13. M

    INAUZWA Nauza kabati la kioo la Aluminum 120K

    Nauza kabati la aluminium la kioo. Bei Tsh 120K Ukubwa wake. (77,65,37cm) Mahali : Dar Simu no:0658 106 630 Utakuwa umeokoa 40% ya gharama yakutengeneza kabati jipya.
  14. Kijakazi

    Tundu Lissu hawezi kujiangalia kwenye Kioo, anajikimbia!

    This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu. Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life…
  15. Mr_S

    Computer4Sale Hp laptop ya 500GB HDD, 4GB RAM na kioo inchi 15.6 inauzwa

    Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana. -> Kioo kina ukubwa wa inchi 15.6 -> RAM ni 4GB -> Hard disk yake ni 500GB -> CPU ni duo core ya 1.6Ghz -> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia) ->Bei...
  16. kagombe

    Nahitaji kioo cha Tecno K7

    Tecno K7 mwenye kioo aje tuyajenge zingatio me ni fundi bei isiwe ya shop
  17. Kulupango

    INAUZWA Meza ya kioo ya watu 6 na viti vyake inauzwa laki moja

    .
  18. M

    INAUZWA Mlango wa Kioo wa Aluminium wa frame(used)

    Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
  19. profesawaaganojipya

    Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

    Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
  20. Bepari la bariadi

    Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
Back
Top Bottom