kioo

  1. J

    Kioo cha Samsung S8+

    Natafuta mtu anayeweza kuniuzia kioo cha Samsung S8+ nna 230k
  2. joto la jiwe

    Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

    Kenya ni nchi yenye matatizo mengi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa sasa, ukabila, rushwa, ukosefu wa usalama, upungufu wa chakula, migogoro kati ya jamii za wafugaji, miradi ya serikali isitozingatia mahitaji ya wananchi, Covid -19, dhuluma ya umiliki wa athi, vurugu za kisiasa wakati na...
  3. Mgalula MzTz

    Samsung s6 ya kubadili kioo- nipe offer yako

    Nauza samsung s6 - kioo cha kubadilisha. Piga 0712 668190 unipe offer yako Mbezi kimara-Dar
  4. T

    Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  5. Jitu Kabeja Diggala

    Kioo cha TV aina ya ZEC 24"

    Mambo vipi wadau, kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo. Asanteni,nawasubiri wakuu
  6. hp4510

    Nahitaji kioo cha Hisence TV inchi 55

    Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55 Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata Hichoo kioo naomba ani dm Niko Dar es Salaam
  7. Arch Mnyaheru

    Mwenye kioo cha Samsung A20 used nakihitaji. Nina Tshs. 100,000/=

    Habari wanaforum, Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=. Nipo Dar es salaam Kinondoni. Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo. Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo...
  8. Titicomb

    Uliyepitia mambo magumu: Vitu kwenye kioo cha kuona nyuma vinaonekana karibu kuliko uhalisia

    Hayo si maneno ya busara toka kichwani kwangu bali toka kwa mwanamuziki Hayati Lucky Philip Dube. Anasema "Inaonekana kama vile kila kitu kilitokea jana tu" anaendelea kusema "Machozi hayawezi kuleta furaha bali furaha inaweza kuleta machozi" Hapa anamaanisha nini? Kulia sababu ya jambo lolote...
  9. hp4510

    Kioo cha iPad 2

    Nahitaji kioo cha iPad 2 kwa mtu yoyote ambaye anacho au anaweza kujua wapi nitakipata anijulishe kwa pm tafadhali
  10. K

    Kioo cha PC aina ya ACER kimevujia wino. Naweza kusafishiwa kikawa safi au hadi niweke kingine?

    Habari zenu wakuu kioo changu cha PC kimevujia wino naweza kusafishiwa kioo kikawa safi au kunaulazima wa kununua kingine, msaada tafadhali
  11. Wisdom Flag

    Msaada wa kupata kioo cha Samsung galaxy S7 edge

    Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata kioo Cha mkononi maana dukani kina Bei NAOMBENI MSAADA WENU WADAU NA MAFUNDI simu
  12. Website design

    Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

    Je una laptop iliyovunjika kioo Nina laptop mbili za Dell inspiron 15 Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee. Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6) bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia pia nina keyboard nzimaaa Keyboard nauza 40,000...
  13. FRANC THE GREAT

    Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael ya Israel pamoja na Atos ya Ufaransa ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" ama "Glass Battlefield"

    Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
  14. Suley2019

    Afrika Kusini: Mwanamke aliyeweka vipande vya kioo kwenye uji wa mwanaye ashtakiwa kwa kesi ya mauaji

    Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11) Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo jambo lililosababisha kifo cha mtoto huyo. Mwanamke huyo alikamatwa wiki...
Back
Top Bottom