Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement na itakuwa bei gani. Kwa Sasa nipo Mwanza.
kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri.
Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 .
kwa atakae hitaji kitanda tu 120000
meza tu 60000.
vipo dar mbagala sabasaba .
0657 623266
0694185384
Habari nyingi kwenu.
Huwa nafanya jambo hili sana ila sijui nini maana yake...
Kuna wakati naamua kuitazama sura yangu kwenye kioo kama sekunde 30 hadi dakika moja baada ya hapo naona sura inabadilika na kuwa ni sura ya kutisha sana..
Wakuu sasa naomba mwenye uelewa wa hili jambo anijue na...
Watu wengi hasa maeneo ya mjini wamekuwa na mazoea ya kuweka tinted kwenye vioo vya nyuma na hii ni kwa ajili ya usalama ili vibaka wasichungukie kuona umeacha nini kwenye gari wakati umepaki
Ila kumekuwa na watu wanaweka gari vioo vyote vyeusi hata kile kioo cha mbele. Hebu fikiria una ka...
Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona kuweka kioo nyuma ya simu ni wazo la hovyo kwa sababu zifuatazo;
1. Kioo kinateleza. Simu yenye kioo...
Habari zenu.
Naomba msaada wa mtu/mahali pa kukata kioo kuwa round (clean cut) na kutoboa kioo /vioo vya aina mbali mbali vishimo vya vipimo (3mm-60mm) tofauti kwa ubora wa hali ya juu.
pia mtu/mahali kwa kukata kioo round (15mm -300mm)/ sinous shapes.
Kwa Dar na Arusha/Moshi.
Asanteni
bei yake: 1.2 milioni
sehemu: ukonga, g.mboto
namba ya simu: 0764 509226
risiti yake ipo.
gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
Kumekuwa na Safari kadhaa kwa watawala na wakuu wa vikosi vya ulinzi katika nchi za afrika mashariki na Kati kwenda Rwanda. Ziara hizo bila ya shaka huwa zinabeba ajenda nyingi.
Ama kwanini Rwanda kioo na kigezo watawala na viongozi waandamizi katika serikali za afrika mashariki na Kati...
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki
🤣🤣😂😂😂😂😂
Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza.
Angalia attachment (kiambatisho) cha PDF
Baadhi ya dondoo ya mkusanyiko wa kazi ya Maria Suriano
Rapper Kalapina...
Jamaa yangu amepata crack (ufa) kwenye kioo cha mbele cha gari (windshield). Anasema inazidi kuongezeka (kurefuka)
Je, kuna repair ya cracked windshield kwa uhakika? ama ni hamna namna tena?
-Kaveli-
Wana JF,
Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA...
Na. CM 1774858.
1. Jana trh 28|05|2021|1:26Pm nikiwa Ofisi za CCM Lumumba nikimsubiri Katibu wa Itikadi na Uenezi Comred Shaka Hamdu Shaka walifika Wasanii kadhaa akiwemo Diamond Plt, wote kwa pamoja wakiwa na shida ya kuonana na Ndg Shaka Hamdu Shaka,Muhudumu akawaomba wamsubiri kama...
Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane.
Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.mseries za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha...
Wakuu, habari za Asubuhi
Simu yangu ina tatizo la kuweka Mistari kwenye kwenye kioo chake na baada ya muda hiyo mistari hupotea.
Sasa wakuu hapo shida itakua ni kitu gani maana hiyo mistari naona kama inaondoa muonekano mzuri wa simu.
Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.