Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji.
Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!!
Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina.
Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma!
Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu na history ya Pro. Mkumbo atupe mwanga
Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu.
Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo...
Mimi kipaji changu ambacho sikitumii kabisa ni kupiga gitaa, hasa hasa gita la solo. Hiki kipaji Mungu alinipa toka utoto wangu,nilianza kwa kupiga madebe, makopo, nikapiga marimba, zeze, ndipo nikawa nawafata wana miziki nawaomba gitaa wananipa na hatimae nikafaulu sana nikawa mpiga mzuri mno...
Wakati dirisha dogo la usajili likikaribia kufunguliwa Desemba 15, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa, wakae tayari kumuona mchezaji mpya, Elie Mpanzu, akisema ataongeza kitu ndani ya kikosi chake kutokana na kipaji kikubwa alichonacho...
Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema:
Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli vigodoro vinachezwa nyumba mpaka nyumba watu wanagarauka na wanafupana pesa na sio siri watu wanapata hela...
Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,
1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.
2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.
3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
Manara ni fundi wa hizi kazi Ana kipaji cha pekee Watanganyika Kwa wivu wao wanajiinua mmoja Moja ili kumvunja moyo.
Tuache wivu, Manara ndo best spokesman katika football, Ally Kamwe hawezi kufikia level ya Manara hata robo, japo anafanya vyema.
Maadui msijifanye kumrudisha nyuma, wakati kazi...
Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini.
Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana.
Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia.
Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini?
Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.