Habarini wakuu
Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV.
Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi...
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!
Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.
Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko kipaji.
Hutumii nguvu, yani effortlessly. Hutoki jasho kbs.
Mwangalie Messi, mwangalie Kiba...
Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana,
Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira, Wakati huo TV hazikuwepo tulikuwa tunawekewa mikanda ya mpira hasa World Cup na kwa sisi tulikuwa...
Hbarini wafanyabiashara.
Binafsi ni kijana nimeingia 31, ni muajiriwa seikalini shirika flani, Nilikuwa navutiwa sana na ujasriamali hivyo na mimi nikaona nisijivunge.
Nikaona nifungue steshonari nimweke dada wa kazi awe ananisaidia, sikutaka kukopa hivyo nikafikiria nifungue biashara ambayo...
Ni wazi kuwa kwa sasa kuna tatizo kubwa la ajira nchini. Ni jambo la kawaida kabisa Watu 1000 kugombea nafasi tano za kazi. Rejea Ajira za Elimu na Aya zilizotolewa na Tamisemi mwaka Huu 2021.
Pamoja na changamoto nyingi za Kujiajiri lakini tunaweza kuanza taratibu hatimaye Kujiajiri kupitia...
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama.
Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni.
Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
Habari wandugu,
Siku hizi matangazo ya biashara ili yawe na usikivu unaovutia yanatengenezwa kwa mfumo wa komedi. Nitatoa mfano wa tangazo la soda ya 7 Up ambalo linasikika redioni.
Kama kuna watu wenye kipaji cha kutengeneza matangazo kwa namna hiyo na hawajapata nafasi ya kupata kipato...
Kila siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd awe anatupa kama bonus track ...
Goma la KISS akiwa na Bahati Kenya kaua Sana , respect to director...
Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.
Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na...
Habari,
Kama wewe msomaji wa uzi huu au mtu unayemfahamu ana kipaji chochote ambacho hakijajulikana vema na kumsaidia kimaisha tafadhali tuwasiliane kwa Whatsapp namba 0676434611.
Kipaji chochote ambacho kinaweza kuendelezwa mfano ubunifu wa vifaa, uchekeshaji (comedy), vipaji vya michezo...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
Kuna huyu mtoto anaitwa Hashyat. Alikua anaimba nasheed lakini kwa sasa ameacha kwa sababu ya umri. Kiukweli huyu mtoto kabarikiwa sauti, ana maadili na anajua kujibu maswali vizuri akiwa mbele ya camera zaidi hata ya wasanii wetu wakubwa. Kuna mahojiano alifanya kwenye sherehe yake ya kumaliza...
Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi.
Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza.
Askofu Gwajima pia amesema...
Wakuu bila Shaka hamjambo humu!
Huyu dogo nimekutana nae mtaani ila kwa haraka nimegundua Huyu kipaji cha utangazaji anacho ila anahitaji mtu wa Kimsaidia ili afikie ndoto yake kwani hajui hata pakuanzia naamini hapa Atapata wa kumshika mkono!
Hizi hapa ni audio nilizo mrecord namba Zane...
Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu.
Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.