Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).
Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
Kuna dogo alikuwa anajiamini kuwa na kipaji kikali cha kurap. Ndoto yake ilikuwa ni kuja kuwa staa mmoja mkubwa sana nchini Marekani na duniani kwa ujumla.
Hakujua ni kwa namna gani angetoka, akawa anafanya muziki wake chumbani kimyakimya, anatengeneza beat na kufanya ngoma kivaykevyake.
Siku...
Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi?
swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio?
Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi.
2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati tofauti) sikudumu nao. Nilizua varangati nikasepa.
3. Nimeoa Sasa, nimebaki kuwa mshauri mwelekezi...
Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
1.kutafakari juu ya mambo unayopenda kufanya katika wakati wako wa ziada.
2.Jifunze juu ya mambo mbalimbali. Kusoma na utafiti vinaweza kukusaidia kugundua masomo unayopenda na kuwa na kipaji.
3.Jaribu vitu vipya.Kujaribu shughuli tofauti kutakusaidia kugundua vipaji visivyokuwa vya kawaida...
Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa...
Huyu kocha wa Simba mimi sijawahi kumuelewa. Binafsi huwa sipendi watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Huyu Babu anaonekana kuwa na chuki wa wachezaji na kuwabagua.
Ndio maana ujio wake pale Simba umeua viwango vya wachezaji. Bocco ametoka kuwa goli zaidi ya 10 na kudorora, Sakho hakuwahi...
Aina hii ya watu ni kama wana sumaku ya mvuto, mtu yupo simple tu anavaa kawaida, sura ya kawaida, uchumi wa kawaida lakini watu wanampenda sana uwepo wake, kuongea nae, kuchati nae, kwenda kumsalimia, n.k.
Ni mtu ambae hata akiwa mgeni sehemu flani basi kesho yake kashazoeleka, akikaa sehemu...
Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti,
1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
Wasalaam,
Jamani hii dunia Mungu aliumba watu, nilikuwa na demu wangu huyu demu alikuwa anajua kila kitu ninachotaka kufanya hasa kama nina mpango na demu mwingine, aidhq atajua huyo demu ana madhara au hana mfano kama demu ana majini au mashetani au mchawi sana huyo demu wangu alikuwa anq...
Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama.
Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;
Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
Habari rafiki!
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako!
Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe.
I.Gundua kipaji chako.
Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.