Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
Hatimae Serikali imeanza kutoka kwenye zama za ujinga za kutenga shule kadhaa na kuziita za vipaji maalumu.
Serikali kusitisha mfumo wa kutangaza mwanafunzi wa kwanza sijui wa mwisho ni mwanzo mwema wa kuhama kutoka kwenye ujinga/zama za giza na kwenda kwenye mwanga na kuleta mapinduzi kwenye...
Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote akaiharibu.
Saido Ntibanzokinza asilazimishe sana Ufalme ndani ya Simba SC kwani hata Wafalme...
Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia...
Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka...
Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail.
Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina.
Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
Hapa jukwaani pamesheheni vijapi vya kila aina na vya kila namna. Kuna vipaji hai na vipo mfu. Kuna vipaji ambavyo vinatuburudisha, na vipo vipaji vinatuelimisha.
Kuna vipaji vinatuonya na kutuadilisha, na pia kuna vipaji vinavyoyaelezea vyema maisha yetu ya usoni ambayo hatujayaishi bado na...
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NA MWENYE MACHO NA AONE, NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI.
Njia sahihi ya kukifahamu kipaji cha mtoto,kukiendeleza na kukikuza pamoja na kujua wakati sahihi wa kukitumia ilikuleta manufaa kwa jamii na yeye pia, ni pale hakiwa na umri mdogo. Hivyo tunatakiwa kwanza kujua...
Ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Shinyanga, wilaya ya Kishapu, katika kijiji cha Ukenyenge.
Ni msomi kutokea chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Masele ni mmoja wa vijana waliopata bahati ya kuaminika na chama kikongwe cha CCM. Na kwalo alibahatika kushika nyadhifa mbalimbali hadi kufikia ngazi ya...
Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena.
Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
Mi naishi kwa sister toka nimalize degree. Kazi yangu bado sijaipata naisubiria. Nitapata tu. Ila bado nahitaji kuendelea na mchakato wa papuchi. Siwezi sema eti nisubiri nikipata pesa.
Basi last week shem na sister walisafiri nikawa nimeachiwa nguo za kunyosha za shem. Nikaona...
Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama Kushindana nae au hata Kumzidi.
Sishangai ndiyo maana wakiwa katika Ndege wakitokea nchini Algeria kucheza...
Mimi sio Mchambuzi wa soka lakini kama Shabiki wa soka nimekuwa nikijifunza kla siku kupitia kuangalia Soka.
Baada ya Soka kuonesha mafanikio na ufuatiliwaji mkubwa kama kawaida Wenzetu(haswa Wazungu) waliona fursa na kuigeuza kuwa kati ya biashara kubwa sana Ulimwenguni.
Hivyo basi kama...
Sanaa mara nyingi imekuwa ikitokana na kipaji ambacho msanii anazaliwa nacho, msanii aliyezaliwa na kipaji fulani hufanya vizuri zaidi katika fani husika kwani kitu afanyacho kipo kwenye damu na hufurahia kukifanya. Lakini msanii huyu ili afanye vizuri zaidi anatakiwa kuongezewa elimu katika...
Heshima kwenu Wakuu.
Mtoto wa binamu yangu hakufanikiwa kupata ufaulu mzuri wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano mwaka huu.
Lakini kutokana na kipaji cha uchoraji alichonacho tukaona ni vema ajiendeleze kwa kuongezea taaluma juu ya kipaji chake.
Kulitolewa wazo la kumpeleja VETA na...
Tofauti na wazee wengine ambao wakifikia umri kama alionao nao mzee Mangula akili huwa zinashindwa kufanya kazi vizuri lakini kwa huyu MTU sivyo kabisa.
Siku zote ni mtu anayetumia busara na hekima kubwa katika kuzungumza kwake licha ya umri alionao tungeshuhudia vituko vingi katika maneno yake...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:-
1. Kipaji
2. Kipawa
3. Karama
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.