Wakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya.
Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi asaidie kuweka mawasiliano hapa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni Mtangazaji kutoka kituo cha Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima katika kutambua mchango wake kwa Jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya, ametunukiwa shahada ya heshima inayotambua mchango wake kwenye jamii, ubunifu na ustahimilivu, ambayo...
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili.
Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24.10.2024 kabla hajatoa uamuzi wa mapingamizi...
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili.
Mheshimiwa Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24 Oktoba 2024 kabla hajatoa uamuzi wa...
Baada ya katuni ya samaki tuliyoijadili jana, leo manzania mwenye kipaji cha hali ya juu ametuletea tafakuri nyingine. Karibuni tuchangie mawazo.
Nionavyo mimi, mtu ambaye amejifungia ndani, anasema Watanzania ni waoga! Nadhani hii inahusiana na maandamano yaliyokuwa yafanyike tarehe 23/9/2024...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale.
Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya...
Jaji David Ngunyale ameahirisha kesi ya Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP) dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku hadi tarehe 24.9.2024.
Wakili wa Mwijaku (Wakili Patrick Malewo) ameomba kuongezewa muda wa kupeleka Mahakamani utetezi wake wa kimaandishi dhidi ya...
Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
Sijui kama leo unaweza kuwa na wazo kama la Masoud kutaka kuzalisha kitu chochote cha kiubunifu na serikali yetu pendwa ikakuunga mkono kwa support kama wanayopewa wawekezaji wengine, sijui!!.
Basi hapo majuzi jamaa yetu huyu mtangazaji alipokuja na ile idea yake nzuri na kigari chake huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.