Baada ya katuni ya samaki tuliyoijadili jana, leo manzania mwenye kipaji cha hali ya juu ametuletea tafakuri nyingine. Karibuni tuchangie mawazo.
Nionavyo mimi, mtu ambaye amejifungia ndani, anasema Watanzania ni waoga! Nadhani hii inahusiana na maandamano yaliyokuwa yafanyike tarehe 23/9/2024...