kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

    Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
  2. chizcom

    Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  3. Fredrick Nwaka

    TBC YAJA NA KIPINDI KIPYA CHA MADA KUU

    Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”. Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri katika jamii iwe ni siasa, uchumi, michezo, uongozi n.k Tayari TBC imejizolea umaarufu miongoni mwa...
  4. M

    Ni wakati wa Serikali na TFF kusimama na Simba kipindi hiki.

    Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama Taifa,tunahitaji kuona serikali ikisimama na Simba kupigania maslahi ya Simba.Tarehe...
  5. ngara23

    Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  6. comrade_kipepe

    Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
  7. Rorscharch

    Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  8. Jobless_Billionaire

    Uzi maalumu kwa watu wasiofunga kipindi cha mfungo

    Salaaam... Tupo katika kipindi ambacho Waislamu na Wakristo kwa pamoja tupo katika mfungo. Hata hivyo ndani ya kipindi hiki, si wote tutafunga/ tunafunga na hii ni kutokana na sababu mbalimbali aidha kiafya na nyinginezo ambazo hazitaruhusu uwe katika mfungo. Uzi huu ni maalumu kwa wale...
  9. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
  10. The Watchman

    Pre GE2025 Mbunge David Silinde: Anaetamani kugombea jimbo la Tunduma aje, tutamnyoosha kuliko kipindi chochote

    Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake yanampa uhakika wa ushindi mkubwa yeye na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza jana Februari 22...
  11. Moaz

    Njia za wananchi kutambua propaganda za wanasiasa kipindi hiki cha uchaguzi kwa sababu zishaanza tayari

    Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za kiinimacho kama vile miradi ya ghafla, misaada ya muda, na ahadi zisizo na utekelezaji wa kweli ili kuwavuta...
  12. Dialogist

    Hivi Uongozi Wa Taji Media, Hua Unasikiliza Kipindi Chao Cha Michezo Cha Asubuhi...???

    Wakuu Habarini... Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali. Ila Kuna Mbinu Ambayo Waliitumia Kwa Kushawishi Na Kuiba Wafanyakazi Wenye Uzoefu Toka Redio Zingine. Ni swala zuri...
  13. D

    Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  14. Consultant_Silwano

    Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  15. B

    Barrick yachangia shilingi trilioni 3.6 pato la Serikali kwa kipindi cha miaka 4

    Meneja wa Barrick nchini, Dk.Melkiory Ngido akitoa taarifa ya utendaji wa Barrick na Twiga kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Dkt. Mathayo David akifuatilia taarifa katika mkutano huo Kampuni ya Uchimbaji...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

    Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
  17. A

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  18. Ojuolegbha

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  19. Waufukweni

    Air Tanzania yapata hasara ya TSh. Bilioni 580 katika kipindi cha Miaka 9

    Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege mpya kadhaa. Air Tanzania na hasara zake miaka 9 mfululizo 2014/2015 - Tsh. Bilioni 94.3...
  20. Ojuolegbha

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
Back
Top Bottom