kipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Huyu Mgeni Maajabu Saba Kipindi cha Mazungumzo ya Familia Radio One adhibitiwe kwa Mapungufu yake yafuatayo

    1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga. 2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee. 3. Aache Dharau 4. Aache Ujivuni 5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga. 6. Apunguze Sifa zake...
  2. K

    Liverpool 7, Manchester 0, je Liverpool ni bora kuliko Manchester kipindi hiki

    Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao. Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji wake (balozi) amemuadithia mke wake mambo yote aliyomfanyia na kuambiwa kwa siku SABA na mgeni...
  3. Mwanangikolo

    Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

    Karibuni wanajamvi tushee hii stori. ====
  4. John Gregory

    Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  5. MK254

    Hatimaye kipindi cha theluji kimeisha Ukraine, ndio kete aliyokuwa amebaki nayo Mrusi

    Urusi ilitegemea kutumia musimu wa baridi kali yenye theluji ili ijaribu kuiparamia Ukraine, ikapiga miundo mbinu ya umeme kwa kutumia mizinga ya kila aina, ila Ukraine wamekomaa mpaka musimu umeisha huku Mrusi akiwa ameganda anapambania kamji ka chumvi huko mbali Bakhmut. === Kyiv said that...
  6. Pang Fung Mi

    Tuache minyanduo na mahitaji ya mbususu kipindi hiki cha Kwaresma na mfungo wa Ramadhan.

    Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue sample zetu kadhaaa walau nne na kuweka fungu la pesa kwa ajili ya kuwasitiri na kuwatunza kama...
  7. Half american

    Nifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresma

    Wale tuliokua tunajiuliza tufunge nini majibu haya hapa. Funga huzuni upate furaha, Funga ulabu upate siha, Funga majivuno upata utukufu, Funga uzinzi upate wongofu, Funga kisirani upate utakatifu, Funga umbea upate fanaka, Funga wivu upata baraka, Funga unafiki upate uchaji, Funga kinyongo...
  8. Mtuturas

    Viongozi wa serikali, taasisi futurisheni kipindi cha mfungo wa Kwaresma

    Imekuwa kawaida kipindi cha Mfungo wa ramadhani viongozi wa serikali, taasisi mbalimbali za serikali na binafsi kufuturisha. Sasa basi ili kuondoa dhana ya upendeleo au double standard ni vyema basi katika kipindi hiki cha Mfungo wa Kwaresma basi futari ikaandaliwa pia na taasisi hizo. Ni...
  9. D

    Nashangaa niliwezaje kujenga kipindi cha Hayati Magufuli lakini awamu ya sita najaribu mambo hayasomeki

    Kipindi cha Magufuli cha awamu ya tano pamoja na madili kuwa magumi lakini kilichopatikana kilifaa hadi nikajenga nyumba si haba Nashukuru Mungu. Siyo kujenga tu hata tuvituvitu nilinunua, watoto walikula vizuri, na walipendeza siyo haba. Maduka yangu ya vifaa vya simu kariakoo niliyafunga...
  10. Makonde plateu

    Hali inatisha aisee! Yule mc comedian,mchungaji na kuna kipindi aliwahi kuwa mwalimu amechapiwa mke wake muhaya

    Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana nimechoka kabisa Kuna yule Mc comedian,mgogo, na kuna kipindi alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari baada...
  11. zitto junior

    Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

    Habari za weekend wanajukwaa Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya...
  12. Crocodiletooth

    Hawa wanaohoji hoja kipindi hiki, wangelisimamia hoja zao katika awamu ya tano, ningeliwaelewa

    Kuanzisha mradi ni jambo lingine na kuusimamia ukamilike ni jambo lingine! Nastaajabishwa sana na wale wote ambao hawauoni upiganaji wa waziri wetu wa fedha hasa katika dhamira yake ya kuhakikisha anatumia kila senti katika kumaliza miradi iliyoachwa ambayo mingi ilikuwa chini ya asilimia 15...
  13. peno hasegawa

    Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

    Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
  14. T

    Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
  15. S

    Hivi huyu Chef anayeonekana kwenye kipindi cha Jambo huwa na jukumu gani?

    Huwa namuona chef mmoja anaonekana kwenye kipindi cha jambo Tanzania kila asubuhi kwanye TBC. Huwa ana jukumu gani? Sijawahi kuangalia hicho kipindi mpaka mwisho, ila kwa myda niliopata kuangalia sijawahi kumuona hata akiwahudumia watu hivyo anavyopikaga. Mfano leo angalau nimepata nafasi ya...
  16. U

    Mambo ya kufanya kipindi ambacho una wazo la biashara lakini huna mtaji

    Je, ulishawahi kuwa na wazo la kufanya biashara au kazi lakini hauna mtaji? Pengine unahisi fedha ndio changamoto? Usijali, basi upo eneo salama. Unaweza kujifunza mengi kupitia: Upendokitundu Pengine wewe ni mwanafunzi au upo nyumbani, unawaza kufanya biashara au mradi ila umepungukiwa...
  17. B

    Freeman Mbowe akiongea katika kipindi maalum cha Kinaga Ubaga

    January 2023 Mwanza, Tanzania Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele Freeman Mbowe akiongea katika kipindi cha Kinaga Ubaga juu ya safari waliyoanza ya mikutano ya hadhara na pia CHADEMA kutimiza...
  18. N

    Polisi ni rafiki kipindi hiki cha awamu ya sita

    Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi. BEFORE...
  19. E

    Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  20. GENTAMYCINE

    Akina Kamwe, Manara na Privadinyo waliokuwa 'Wakitupostia' Picha za Miquissone Kipindi cha Usajili mbona sasa wako kimya?

    Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu. Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
Back
Top Bottom