Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.
Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
Hukumu katika kesi ya Agness Buhere vs UTT Microfinance Plc ya mwaka 2015 ni mwongozo tosha wa kulinda haki za waajiriwa walio kwenye kipindi cha majaribio (probationary employees). Naambatanisha.
Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.
Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu.
Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu.
1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa.
2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo.
Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!!
Soma:
Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, binafsi nilikuwa napenda kipindi Asubuhi na Vodacom Cha legend Freddy Fidelis RIP kukiwa na tangazo la HEBU NIAMBI VODACOM NI NINI, NIPE ZAWADI YANGU, NANI KAKUAHID ZAWADI.
Pia kulikuwa na tangazo la bia SAFARI NI SAFARI IWE USIKU AU...
1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania.
2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo.
3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio.
4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana.
5. Bernard Morrison si Mchezaji wa kuanza, kwani hakabi halafu anacheza kwa vipindi.
6. Simba SC...
Habari za muda huu wana JF.
Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya hoja zinazotumika;
Amezungukwa na maadui pande zote lakini hawamuwezi kila mipango yao...
Wakuu nini kilichopelekea mchambuzi mahiri wa soka, Oscar Oscar kutimuliwa kwenye kipindi cha michezo cha E FM na kupelekwa vipindi vya wanawake vinavyozungumzia umbea?
Maana sasa hivi anatangaza kipindi kimoja na Dina Marios!
Kuna siku moja nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B na safari ilichukua takribani masaa 16. Kuna muda dereva wa basi alituamuru tushuke kichakani tuchimbe dawa na tutumie dakika 5, kweli abiria wote wake kwa waume tulishuka.
Mimi nikaelekea upande fulani halafu kuna mdada nikashangaa...
Urafiki baina ya mtu na mtu mara nyingi huwa ndio chachu au msingi wa uhusiano kati ya taifa moja na jingine, ambapo urafiki huu unaimarisha maelewano na maingiliano ya pande zote mbili. Ni miaka kumi sasa tangu rais Xi Jinping aingie madarakani, na katika kipindi chote hicho hakika...
Habari wana JF, nimeipitia hii ripoti kwa umakini nlichogundua ni kweli kuna uwezekano mkubwa data zilikuwa zinaongezwa kidogo tukawa hatustahili 360 trilioni ,Lakino ukichukulia makinikia haiwi na thahabu tu bali kuna madini mengine pia bilioni 700 inafikirisha.
Lakini pia kwa watu ambao...
Waziri mkuu wa uingereza amesema haijalishi vita itachukua muda gani lakini uingereza itasimama na Ukrene bega kwa bega kwa hali na mali huku misaada ya kijeshi itaendelea kupelekwa kyiv bila kujali urusi anatoa vitisho gani,Waziri mkuu huyo amemalizia kwa kusema ukrene lazima ashinde vita kwa...
Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.