Ni ushauri tu.
Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla baada ya Urusi kuitumia nishati yake ya gesi na mafuta kama silaha ya kulipiza kisasi kwa umoja huo...
ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU
Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953.
Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953.
Mwandishi kulia akiwa nje...
Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
Si kwamba sikuwa na utaratibu wa kutowa tip, ila nilikuwa sijali na nilikuwa sioni kama inasaidia. Baada ya mimi kuyumba miaka fulani na kulazimika kujiajiri kwenye biashara fulani ambayo ndio ilinisitiri japo kuna siku unatoka kapa.
Ila kitu nilichojifunza kwa mtu kukupa buku au jero tu kama...
Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito na awana kasi kutokana na umri kitendo kilichowafanya azam kutawala katikati na kulisogelea lango la...
Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita.
Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI YA PAKTI MOJA
BEI YA SIGARA MOJA
Winston & Master Club
Tsh1600/=
Tsh 100/=
Sports Club & Sm Club
Tsh...
Wandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza...
Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia.
Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe?
Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana.
Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
Whatsup!
Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua.
Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
kuna likizo ndefu kwa ajili ya sensa ya watu na makazi nchini, ambapo wanafunzi kuanzia ngazi ya chekechea hadi vyuo wapo mtaani, na kiukweli mitaani pamefurika kuna kila aina ya makundi na watu wa rika tofauti tofauti.
Sasa huu ni muda wa wazazi kuchukua kila aina ya tahadhari kwa ajili ya...
Wadau kama nitakuwa nimewagusa sehemu mbaya mnisamehe tu ... Tunapofanya sensa mwaka huu naomba tusiishie tu kuhesabu watu.
Tuendelee mbele kidogo. Tuhesabu watu wenye utimamu wa akili. Unaweza ukawa unahesabu mayai ya kuku na kudhani atatotoa vifaranga kumi. Kumbe mayai mengine mengi tu...
Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania.
Tumepitia kipindi kigumu sana,
nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake.
=====
Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country.
But the...
Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi.
Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery.
Tunaomba suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.