kisasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

    Bila shaka Mko Pouwa! Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda. Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
  2. kavulata

    Makonda hatalipiza kisasi lakini waliomnyima Ubunge anawajua!

    Makonda kasema hatakwenda kulipa kisasi lakini mmmh!! Moyo sio kama mashine ya kusaga na kukoboa nafaka, unaongozwa na ukweli na uhalisia; na ukweli na uhalisia vinaongozwa na matukio yenye kusababisha furaha au huzuni kwa mtu. Binadamu ana tabia ya kulipa furaha na huzuni/maumivu...
  3. Influenza

    Makonda: Baada ya kuteuliwa wapo waliowaza naenda kufanya nini. Sina Kisasi na mtu, sitajitutumua kuonesha mabavu

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema; "Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza Makonda ataenda...
  4. GENTAMYCINE

    Aubin Kramo aliyerogwa na mbaya wa Diara anarejea kutokea Kwao, je, mrogaji ameshajiandaa kwa Kisasi?

    Wiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia sasa Jamaa ( Aubin Kramo ) yuko njiani kurejea kutoka Kwao na kasema lazima akulipizie Kisasi kwa...
  5. W

    Kuna uongozi na Utawala, Ipo siku utawala utakoma (Mungu alichonionesha)

    Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake. Yeye uangalia anachotaka na maslahi yake. Ananguvu za utawala, waweza dhani anakuchekea kumbe rohoni...
  6. Jackal

    Uholanzi Yaipa Ukraine Ndege Chapa F-16 Kama Kisasi Cha Kulipiza Ndege Yake Ya Abiria Kulipuliwa Na Mawakala Wa Putin Na Kuua Abiria 196

    Ndege hiyo Chapa MH 17 iliydunguliwa na Mawakala Wa Putin miaka 9 iliyopita na Kuua abiria wa Uholanzi 196.Uholanzi Kulipiza kisasi imeipatia Ukraine Ndege za kivita Chapa F-16,ili kusaidia kupambana na vikosi vya Urusi ,vilivyovamia Ukraine.🤔 ...
  7. Bwana Bima

    Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

    Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional...
  8. Mto Songwe

    Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
  9. Beberu

    Azam Fc Vs Yanga, 12/06/2023, Match ya kisasi, Ubabe na heshima

    Habari ya muda huu ndugu msomaji wa Jamiiforums, Baada ya kuwafunga Watoto wa tajiri namba moja hapa Tanzania (According to Forbes) kwa mabao 2-1, vijana wa tajiri asiependa kelele hapa mjini SSB Azam Fc walijihakikishia nafasi ya kucheza mchezo wa mwisho (Final) ya michuano inayodhaminiwa na...
  10. Execute

    Nimenusurika kuambukizwa HIV na mwanachuo wa miaka 24 ambaye yupo kwenye mission ya kulipiza kisasi

    Huyu binti nilifahamiana naye kupitia mtandao wa LinkedIn akiwa anatafuta field. Baada ya muda tukawa tunachati kwa karibu na hatimaye mahusiano. Kwangu mwanamke yeyote akija kimapenzi lazima kwanza tupime. Yaani ukiingia tu mlangoni unakutana na 'pharmacy' yangu, unapima ndipo uingie. Binti...
  11. O

    Edo Kumwambe: Kisasi cha Cairo kilivyolipwa Casablanca baada ya miaka 20

    KISASI cha miaka ishirini iliyopita kimelipwa Ijumaa usiku katika Uwanja wa Mohamed V, pale Casablanca. Kisasi cha watu wa Afrika Kaskazini dhidi ya Simba. Maumivu yalikuwa makubwa wakati Simba walipoitoa Zamalek kwa penalti katika uwanja wa Taifa wa Misri miaka ishirini iliyopita pale Cairo...
  12. Mohammed wa 5

    Eid haiko mbali na sisi tutalipa kisasi

    Yote sababu ya pilau😁
  13. M

    Kisasi ni haki, Yanga dhidi ya Rivers moto utawaka

    Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili ktk mazingira tofauti. Rivers walikutana na yanga iliyokuwa bado inajitafuta, ilikuwa ndio...
  14. S

    Yanga Yalipa kisasi cha 2016 Kwa Mazembe

    Take it! Yanga @yangasc1935 imelipa kisasi cha 2016 kwa TP Mazembe. Mazembe ilishinda bao 1-0 Ugenini (Dar) ikashibda 3-1 nyumbani (DRC). Yanga imeshinda 3-1 nyumbani (Dar) na 1-0 ugenini (DRC). Hatua ni hii hii ya makundi kombe ni hili hili.
  15. D

    Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

    Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili! Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na Monastir ugenini! Wale wazee wa mikeka ya Sokabet, Nipeni muongozo maana nataka nipige zangu pesa tu...
  16. S

    Wanawake msituumize kihisia kwa kutoka nje ya ndoa ili kulipiza kisasi

    Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa. Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa. Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu...
  17. Makonde plateu

    Chuki au kisasi?

    NI KISASI AU CHUKI...? "Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli' Tembe. Nelli alifariki baada ya kudondoka toka kwenye kibaraza cha ghorofa ya 10 ya hoteli ya...
  18. BARD AI

    House girl ataka kutorosha mtoto ili kulipa kisasi kwa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto ambaye jina lake limehifadhiwa (10) anayedaiwa kukamatwa na wasamaria wema katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza katika harakati za kutoroka na mtoto wa mwajiri wake kwenda mkoani Mbeya. Taarifa ya mtoto huyo...
  19. xxtycoon

    Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

    Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
  20. Suzy Elias

    Aminini nawaambia kisasi cha wana CCM kitakuwa cha kutisha!

    Hao watu (wana CCM) wanachukiana mno na siku ikitimu ya wao kulipana visasi amini nawaambia kwacho kitakuwa kisasi cha kutisha! CCM hawapendani hatari na sababu hasa ni maslahi yao binafsi na siyo maslahi ya Watanzania ABADANI! Letu la mno tuombe siku hiyo iwadie haraka ili mpango wa Mungu...
Back
Top Bottom