Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini?
Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani?
Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani?
Hivi...
Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana.
Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu waliokuwa wakifanyiwa na watu wa mrengo wa CCM na serikali, Lakini Mbowe siku zote amekuwa akiwaasa...
Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui...
Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi.
Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia...
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu halafu unanitukana eti nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha!
Mzigo nilikuwa nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitoridhika Ila nataka nikutese huku nakuangalia ili iwe fundisho kwako na kwa washenzi wenzio waliozoea kugonga wake...
“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu.
.
“Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE.
WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi...
Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio kubwa kimedani na linatulazimisha tuweke kando siasa zetu chafu tukae chini na tutafakari na...
Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa...
Habarini wana jamvi. ..
Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??
Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe...
Wanabodi,
Taifa bado liko kwenye shock ya nini haswa kilichotokea kwa askari wetu?
Mauaji haya ya Polisi Wetu ni Ujambazi tuu, ni Ugaidi au Retaliation?. Wakati vyombo vya uchunguzi vikiendelea na kazi yake, Sisi Watanzania kama taifa lazima tujiulize, Nini Kifanyike Kukomesha Hali Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.