Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka.
Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi?
Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia.
Viongozi wengi wa sasa...
Dadake atoa tamko na kusema kiongozi huyo sasa yupo imara baada ya kuugua na kwamba watalipiza kisasi kwa Korea Kusini maana wanasema ni mchezo ulikua umechezwa kiaina fulani hivi.........
SEOUL (Reuters) -North Korea's Kim Jong Un declared victory in the battle against COVID-19 on Thursday...
Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu.
Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
Assalaam alaykum.
Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na mahali alipo ambako sio mbali na mimi. Nikascrinishoti nikapita kushoto. Nilifanya hivi, kuna dada...
RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898
Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri bin Salim majina yao yanafahamika.
Majina haya yamefahamika kwa sababu mtoto wa mmoja wa hawa...
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
Rwanda imelaumu Jeshi la MONUSCO la Umoja wa Mataifa kwa ukimya wake wakati huu ambapo mgogoro wa taifa hilo dhidi ya DR Congo ukiendelea.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema hawatavumilia pindi wakishambulia na wapo tayari kulipa kisasi wakidai kuwa DRC walirusha...
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka Baada ya kupata mashambulizi mazito Toka Kwa ISIS(ISLAMIC STATE OF IRAQ AND SYRIA), kundi la kigaidi...
Niombe wananchi mtembelee akaunti ya tweeter ya Peter Madeleka mjionee ni mambo Gani yaliyopo kwenye hiyo akaunti. Mimi binafsi Siku amefariki JPM ndipo nilianza kumsikia huyu Bwana nikafuatilia baadhi ya stori zake na namna awamu ya Tano ilivyomtesa akiwa Gerezani.
Lakini nakumbuka baada ya...
Hawaja tu-treat vizuri, unaweza ukashangaa V.A.R Imewekwa lakini haijafanya kazi...! Kiufupi hawakustahili kushinda lakini Nina swali kwao Iwapo na sisi tutawafanyia hivyo mechi ijayo watajisikiaje?
Kocha wa Orlando Pirates, Mandla Cinkazi.
Ni suala la wakati tu.
Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu.
CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
Mtawala wa Rumi Julius Ceasar aliwahi kukamatwa kama mateka na maharamia. Wakamshikilia na kudai walipwe vipande vya shaba 20,000 ambazo ni sawa na Pound 500,000 za leo.
Ceasar akaona hii dharau mbona wanadai malipo madogo mimi sina thamani ndogo kiasi hicho. Akawambia wadai vipande vya shamba...
Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
Urusi imesema leo kuwa itajibu kwa njia sawa kama Ujerumani itaumaliza mzozo kuhusu vyombo vyao vya habari, lakini itauongeza mvutano huo hata zaidi kama Berlin itaamua kufanya hivyo.
Urusi ilisema jana kuwa inazifunga shughuli za shirika la habari la Ujerumani - DW mjini Moscow na kuwapokonya...
nani anaependa kukaripiwa?
nanj anaependa kupigwa?
nani anapenda kugombezwa?
nani anapenda kupigwa?
nani anapenda kunyanyaswa?
HAKUNA!!!!
Inanishangaza sana kuona kuna baadhi ya wazazi hawaheshimu kabisa mahouse girl wanaobaki na watoto wao, huwaona kama wanadamu wa toleo la pili.
House girl...
Rais Ebrahim Raisi amesema aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kuwajibishwa kwa nafasi yake katika mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani yaliyotokea miaka miwili iliyopita, au Iran italipiza kisasi
Raisi ametaka kuundwa Mahakama ya Haki ambayo Trump, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
Wanabodi,
Siku za nyuma niliweka thread kuhusu mauaji ya kijana Jumanne Jongo kuuawa na sungusungu maeneo ya Beach Boy Mburahati.Kijana huyu anaishi maeneo ya Banda Mabibo.
Kijana aliyeuawa anaitwa Abdu ana umri wa miaka 19.
Kilichotokea ni kwamba kijana aliyeuawa alikwenda kwenye mziki maeneo...
HUMPHREY POLEPOLE UPEPO WA KISASI UNAKUANDAMA. CHUNGA SANA. MUNGU ANAKULIPA.
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Kisasi kisasi! Ni Jambo la hatari ambalo linaweza kuzuilika lakini ni ngumu kuzuilika.
Miaka kadhaa iliyopita wakati wengine wakifungwa midomo wasiikosoe serikali Ndugu yangu POLEPOLE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.