NI KISASI AU CHUKI...?
"Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli' Tembe.
Nelli alifariki baada ya kudondoka toka kwenye kibaraza cha ghorofa ya 10 ya hoteli ya...