Assalaam alaykum.
Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na mahali alipo ambako sio mbali na mimi. Nikascrinishoti nikapita kushoto. Nilifanya hivi, kuna dada...