Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?
------------------
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
Ukweli ni kuwa ndani ya CCM kuna makundi mawili, yaani lile linalokubali Maridhiano ya Kisisa na lile lisilokubali Maridhiano. Kundi hili lisilokubali Maridhiano ya Kisiasa ndio wengi zaidi na wengi wao wamefikia mpaka lugha za kejeli kwa Rais mwenyewe na kama haitoshi wamefikia mpaka kuwakejeli...
"Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala.
Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe kama mtaji WA kisiasa, kila anapowapa nafasi nakuimarisha ustawi wa nchi wao utumia mwanya huo...
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni
Reconcilation (Maridhiano)
Resiliency (Ustahimilivu)
-Reforms (Mabadiliko)
-Rebuilding (Kujenga Upya)
Kweli tunaona...
Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la uzalendo.
Tuliambiwa matajiri wataishi kama masikini, tukashangilia; huku mataifa yaliyoendelea...
Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.
Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea.
Huko Tarime hatuna nguvu tena.
Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii
Hii ni sababu kuu...
Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa.
Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema.
Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.
Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake.
Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona.
Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na ushoga wala kwamba upo mtafaruku wowote wa kimadaraka chamani.
"Chadema inataka katiba mpya, sasa."...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani
1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa.
2. Anazungumza na wapinzani.
3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu.
4...
Siyo siri tena kuwa tangia kurejea nchini kwa mwanasiasa TAL, hali ya kisiasa nchini imebadilika kabisa.
Haipo shaka kuwa huyu ndiye mwanasiasa anayefuatiliwa zaidi kwa sasa hapa nchini na makundi yote. Humo wamo wafuasi wa chama chake na hata wafuasi wa vyama hasimu, chawa na viongozi wao bila...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi.
Kila ninapokumbuka...
Najua wengi mtatukana matusi mengi ila mkashindwa kukubaliana na ukweli!
Kokote kule, msaliti huchukiwa na kila mtu, awe mke ama mume akimsaliti mwenzake, huibuka chuki na pengine mgogoro mkubwa ndoa unaanzia hapo na hata kuvunjika kwa ndoa!
Watu wengi hawafikii katika hali ya kufunga ndoa na...
Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote!
Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.