Ni kitabu cha hadithi kimeandikwa kwa kiswahili, jina la hicho kitabu cha hadithi kinaitwa "HATIA"..actually hicho kitabu cha hadithi kiko kwenye mfumo wa picha za katuni za watu, zilizochorwa vizuri wakiongea
Atakaeniambia jinsi story ya hii hadithi ya HATIA ilivyo na jinsi ilivoisha, ntajua...
Wakati naishi Tz kiswahili nilitumia kama means of communication. Sikuona umuhimu wake hata kidogo.
Sasa nipo nchi za watu ki ukweli hakuna raha nnayoskia kama kukutana na watu wanaongea kiswahili. Kingereza kinachosha jaman.
Kuna muda nataka nipumzishe akili, kingereza Kinahitaji kutumia...
The University of Nairobi continues to record honourable milestones after a Kiswahili lecturer from the institution bagged an award in the US.
In a statement from the university released on Tuesday, August 18, Prof. Iribe Mwangi, the Chairman, Department of Kiswahili was awarded by the...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
Nina hoja naleta kwenu tuijadili.
Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi.
Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani na wataalamu wa lugha ya alama, ili kuboresha matumizi fasaha ya Kiswahili na kuzuia upotoshaji.
Pia, amewataka BAKITA kuwabana wachapishaji wa...
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine.
"NENDA KANIINGILIE"
"VENYE UKIKWENDA"
"SI UKUJE".
Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
Wakati klabu ya AS Roma inatoa salamu za pole kwa Watanzania kwa kutumia lugha ya Kiswahili, Wabongo wengi tulikuwa na hamu ya kujua ni Mtanzania gani mwenzetu alopewa hilo shavu uko Rome Italy.
Ajabu wadukuaji wakatudukulia; Mkenya ndio amekamatia hiyo nafasi, mimi kama mimi nikaanza kuwaza...
Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati...
Jamani Green card inaombwaje, mnaojua mtusaidie tukafundishe lugha yetu tamu na adhimu ya Kiswahili, mlioshinda na wenye uzoefu naomba mniongoze njia.
Nataka nikale baga na piza ila nitawamisi senene, mbege, dagaa wa Kigoma na Mwanza, Kisamvu na msusa wa karanga.
Basi nitafanyeje!
Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa...
Nimekaa na kutafakari kwa kina tunu ya lugha yetu hii ya Kiswahili.
Kiswahili kilitumika katika kuleta uhuru wa Tanganyika na Zanzibar.
Kiswahili kilitumika kuunganisha makabila zaidi ya 120 yaliyopo Tanzania.
Kiswahili kilitumika kumng'oa Nduli Idd Amini Dadaa, alipojaribu kuivamia Tanzania...
Kwa muda mrefu kumekua na makelele mengi ya kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki. Bila shaka Tanzania inaongoza katika hizo harakati.
Pamoja na makelele hayo, jitihada zinazofanyika ni ndogo kulinganisha na kile kinachopaswa kufanyika. Tuanzie Tanzania. Lugha yetu ya...
Katika birthday ya Gigy Money nimemuona Boyfriend wake akihojiwa You Tube. Huyu Mchuchu wake anaongea kingereza tu. Sijasikia akiongea kiswahili, je sio Mtanzania?
Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili.
Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa.
Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
Je, Kiswahili kinakaribiana na lugha yako vipi ?
Kwa lugha yetu (Ki-embu/Ki-Kuyu)..
Maneno ya kawaida
Mtu - Mundu
Kiti - Giti
Meza - Metha
Kijiko - Giciko
Kitanda - Gitanda
Nyumba - Nyumba
Viatu - Iratu
Maji - Mai
Sentensi
Kuja hapa - uka ava/Uka haha
Maneno ya lugha yenu ya Ki-Bantu...
Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Nimetoa Wikipedia. The four mild Coronaviruses have a seasonal incidense occuring in the winter months in Temperate climate. There is no preference towards a particular season in Tropical climate.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.