Viongozi wetu najua mna nia njema kabisa ya kutaka kukuza lugha yetu ya taifa, Kiswahili.
Pamoja na kuwa na nia njema ya kukuza lugha ya Kiswahili tuwe wakweli kuwa majaji na mahakimu kutumia kiingereza kama lugha ya kurekodi kumbukumbu za mwenendo wa kesi sio sababu ya kunyima raia haki zao...
TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh Rais hakuishia kumpongeza tu, bali jana hiyo hiyo alimteua kuwa Mhe Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa...
Sitaki kuongea mengi ila toka ameingia 2015 mpaka kufikia hotuba yake ya jana ni dhahiri huyu mzee amekuza Kiswahili sana.
Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu.
Tumpongeze kwa hilo tafadhali. Zamani, Watanzania wengi walifichwa...
Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa.
Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri.
===
10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
Habari Wanajamii,
Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'....
Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha...
Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini.
Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza.
Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia.
Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka.
Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo.
Maendeleo hayana vyama!
FUNGUA...
Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.
1. Mchirizi (Mfereji)
2. Umenifahamu? (Umenielewa)
3. Markiti (Sokoni).
Edits, from posts in this thread:
4. Skuli (shule)
5. Chogo (kisogo)
6. Tungule (nyanya)
7. Ami (Rafiki)
Tuendeleze na mengineyo
Humu kuna vitabu mbalimbali vya kiswahili. Tumebadili namna ya ulipaji. Sasa unaweza kusubscribe kwa Tsh 6000 na kusoma vitabu vyote mwaka mzima. Kila mwezi tunaongeza vitabu kadhaa.
https://play.google.com/store/apps/details?id=app.b.maktaba
Katika nchi yetu kila mwaka huwa tunakuwa na wiki moja ambayo huwa tunaiita ni wiki ya sheria nchini, ambapo tumeianza rasmi tarehe 24/1/2021 na kilele chake kitakuwa tarehe 1/2/2021.
Ninajua kumekuwa na juhudi kubwa sana toka kwenye mhimili mmoja ambao ni serikali "kuulazimisha"...
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili.
Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
Kama tujuavyo, Kiswahili husifiwa kama lugha ya rasmi ya Tanzania. Lakini kabla ya kusanifishwa, Kiswahili kilikuwa kimeandikwa kwenye herufi ya Kiarabu kwa muda mrefu sana. Naomba kuwauliza ninyi wapendwa wenzangu wa JF, nani mtaalamu wa lugha anaweza kunifundisha Kiswahili kilichoandikwa...
Dada wa kizungu aamua kufunga ndoa na mwanaume wa kimasai na kuishi umasaini. Yeye anasema ni mapenzi baina yao ndio yanapelekea kuwa pamoja kwa muda wa miaka tisa.
Je, yaweza kuwepo sababu zaidi ya kupendana? Je, yaweza kuwa kuna kikolombwezo cha mapenzi yao? Au ule mtindo wa jando?
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums
Ndugu zangu watanzania;
Je, ni neno lipi la Kiswahili sanifu huanza kwa consonant "C" na vowel yoyote ile kama "O"? Virusi wale ni sahihi kuwaandika Corona au Korona?
Kwa kawaida ya uandishi wa lugha hii ya Kiingereza maneno...
Kila kitu kina faida na hasara zake.Moja ya faida ya hizi shule za kisasa ni watoto kujua lugha ya malaika angali wakiwa na umri mdogo na kuwa fluent tofauti na wale wanaosoma shule za St. Kayumba.
Hata hivyo, kuna kasoro naiona na ambayo baada ya muda, tutakuja kuiona huko mbele na hii si...
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili
Imeamriwa kufanywa hivyo ili iwe rahisi kwa wananchi kuelewa sheria hizo hususan wakati wa kesi na hukumu ili...
Hapo vip!!
Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia .
Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo.
Mara wakaagiza msosi na juice,baada yakunywa juice kidogo mara jamaa akashauti hii juice sio nzuri..hata sisi tunatengeneza sio nzuri...
Nimeisikiliza nyimbo ya Huyu jamaa inaitwa TSENA na nilichoshangaa ni kwamba humo ndani kuna Maneno ambayo yanafanana na kiswahili na baada ya uchunguzi wangu mdogo nikagundua jamaa anaongea Lugha inayoitwa Shimaore ambayo asili yake ni lugha ya Kiswahili.
Enjoy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.