Hivi karibuni chuo kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing BEWAI kilifanya mashindano makubwa yaliyowashirikisha wanafunzi wanaosomea lugha mbambali za Afrika katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China, zikiwemo Kiswahili, Kihausa na Kiamhara. Lengo la mashindano haya ni kukuza uelewa wa Wachina...
Juzi nimeona mtandaoni mama mmija akilalamika kuwa mwanae wa miaka 8 hajui vizuri kiswahili. Mwingine anasema mwanae anaongea kiswahili kama cha wahindi.
Hili ni jambo zuri au ni tatizo? Hii ipo kwa kiasi gani? Kiswahili kinaenda kufa?
Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja.
Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
Katika mchango wake kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mbunge wa jimbo la Nkenge (CCM) Frolent Kyombo amelalamikia mateso na adha wanayoipata wakazi wa wilaya za Kyerwa, Karagwe, Missenyi na Ngara katika mkoa wa Kagera kufuatia kuwa mpakani na nchi jirani na kuwa baadhi ya watumishi wa idara...
Hii mimea kwa kiingereza
1.Unaitwa -chamomile
2.Unaitwa-nutmeg
nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa.
Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
Lugha ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki. Neno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’ a-sawāhilī’’ ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni na lugha ya eneo la pwani. Kiswahili...
Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku...
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Wizara nyingine pamoja na Taasisi zinaendelea na zoezi la kutafsiri Sheria zinazosimamia ili ifikapo Desemba 2021 Sheria zote ziwe zimetafsiriwa kwa Kiswahili.
Amesema Mahakama ipo katika hatua za mwisho kutafsiri Kanuni zaidi ya 50...
Habari wana JF,
Nimesikiliza hotuba ya muheshimiwa Raisi kwa uzuri kabisa nikamwelewa, lakini lugha hii yetu pendwa (kiswahili) hajazungumzwa mahala popote.
Hapo awali kiswahili kilitiliwa mkazo kwa sababu zinazojulikana na utawala uliopita. Lugha ya kiingereza ilionekana ni anasa au kielelezo...
Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha.
Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko.
Angekuwa sawa...
Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu.
Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar.
demka Taz. demnga.
demnga V cheza ngoma kwa...
Na Elius Ndabila
0768239284
Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni Mama wa Kiswahili.
Tulimushuhudia Rais wa awamu ya Tano akitumia kila jitihada za kukuza na kueneza...
Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
Hapa nchini tuna dini kuu mbili kubwa, Wakristu na Waislam.
Dini hizi zina lugha zao rasmi kwa mfano
1. Wakristu Wakatoliki wao ni Kilatini japo hapa kwetu ni majanga.
2. Waislam wote ni Kiarabu.
Nimesema lugha rasmi kwa maana ya sala ila kwenye mahubiri hutumia lugha za Taifa au mama sasa...
Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja.
Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
Kama kuna wakati kiswahili kimejishushia hadhi kimataifa, ni kipindi hiki kwa kuwa na salaam ya utata. Nilimuonea huruma Palamagamba Kabudi akihutubia wageni waalikwa wa nchini na wa-kimataifa wakiuga mwili wa marehemu Mh JPM, huku akianza kwa kuwasalimia " Asalaam aleykum na baadae Bwana yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.