Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu kiongozi wa kiume huitwa Amir na wakike huitwa Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi...
Salaam!
Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato.
Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake.
Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya.
Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni kwa sababu Lugha ya Kiingereza ilikuwa ni kama Mama Mkwe kwa Magufuli, na hivyo pengine ilikuwa...
Nimekuwa nikisoma kwenye machapisho mengi hasa magazeti ya kila siku kuna makosa sana ya uandishi wa neno hili BAADAYE. Wengi huandika BAADAE hayo kwa mujibu wa kamusi ya TUKI ni makosa. Neno sahihi ni 'Baadaye'.
Poleni na Msiba ndugu watanzania wenzangu.
Hapo vip!!
Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
Hili swali huwa linanishangaza sana! Muhindi ana zaidi hata ya miaka 30 au amezaliwa na kuzeekea hapa ila kuongea kiswahili kwa ufasaha ni shida kubwa.
Ila wazungu wanaokuja kwenye miradi au shughuli zingine kwa miaka mitano tu eneo analofanyia kazi ataijua lugha hiyo kwa muda mfupi, hata kama...
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili.
Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
Habari za wakati huu jamiiforums.
Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?
Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama...
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Naibu Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema bidhaa zote za kigeni zinazoingia nchini zitafutiwe utaratibu wa kutafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili.
Na bidhaa ambazo zinazalishwa nchini ziwekewe utaratibu wa kuwa na maelezo ya Kiswahili ili kumrahisishia mtumiaji wa...
Huwezi kutaka sheria ziwe kwa lugha ya Kiswahili, halafu wakati huohuo unawatrain wanasheria wako kwa Kiingereza, kufanya hivyo ni kujaribu kuweka mkokoteni mbele ya punda ausukume kwenda mbele.
Kitu cha kuzingatia katika maamuzi haya ni Je, Taifa limejiandaa kikamiifu kutunga sheria na...
Tatizo la lugha linaendana na uwezo wa kiuchumi na ukubwa wa idadi ya watu wanaozungumza lugha husika.
Tanzania tumeanza kupigania lugha ya Kiswahili itambulike Duniani lakini tunapaswa kujiuliza tatizo ni lugha au tatizo ni kukuza uchumi?
China wapo wengi lakini maamuzi na mikataba au sheria...
Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili kuanzia daraasa la kwanza hadi form six ambalo ni la lazima?
Kimbukeni Rais kasema Historia ya...
Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa.
Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa za kiuchumi ikiwemo...
Hoja yangu ni fupi. Tunaelewa bidii kubwa inafanyika kiswahili kijitosheleze kwa misamiat kadri dunia inavyozalisha vitu vipya. Lakin naona baraza la kiswahili wanatumia njia moja zaid ya kutohoa maneno toka mfano kiingereza na kuunda kiswahili chake. Matokeo yake tunapata misamiat migumu kias...
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
Msimbazi qwota ni wapi?
Shira ni nini?
Miwala ni nini?
Mbona shira ya Zanzibar inasifiwa?
Napenda saana nyimbo za Tanzania lakini kiswahili wakati mwingine balaa ...nsaidieni mi ni mkenya na kiswahili huku balaa kidogo.
Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo.
Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.