Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe...
Hata maneno na michoro ni biashara na fahari kubwa me nadhani imefika muda kama taifa kuanza kusoma elimu zote kwa kiswahili na inawezekana msikariri kwamba lugha yetu haiwezi kutuletea mapinduzi kwenye maeneo yetu. Tunachelewa bure tunaua vipaji vingi kwa utumwa wa kijinga.
Naombeni CHADEMA...
Je Kiswahili ni bidhaa? Kwa vipi Kiswahili kinaweza kuuzika?
Swala hili linaweza kuwa geni kwako hasa kama hujawahi kupata fursa yakutangamana kimazungumzo au maandishi ya manguli hawa walugha yakiswahili kuhusu ubidhaishaji wa Kiswahili, ambao ni prof, Clara Momanyi, Dkt Mahenge, Wallah bin...
Miaka ya sabini ilitoka series moja nchini Uingereza iitwayo The Fall and Rise of Reginald Perrin.
Reginald (au Reggy) alikuwa na umri wa miaka 46. Alikuwa na mke na watoto wawili ambao walishaondoka nyumbani. Reggy alikuwa meneja kwenye kampuni anayofanyia kazi.
Kadri siku zilivyoenda Reggy...
Salaam Wakuu,
Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala.
Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa.
Emperor na empress
Chief
Prince na princess
Crown prince na crown princess
His/her majesty
His/her highness
Duke
His/her worship
His/her Excellency
Na mengineyo mengi. Unaweza...
Sasa ndani ya App yetu ya maktaba unaweza kujisomea vitabu vyote vilivyomo bure kabisa. Ingia playstore na install Maktaba by pictuss APP.
Unaweza kusoma vitabu hata ukiwa offline. Link ya app inapatikana katika post no 16.
Vitabu vilivyopo mpaka sasa.
1. Hekaya za Abunuwasi na hadithi...
Salaam Wakuu, tuendelee na somo letu pana la aina za maneno. Katika andiko hili tutasonga zaidi kwa kutazama kiundani Viwakilishi na aina zake. Twende pamoja.
VIWAKILISHI
Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya nomino(vibadala vya nomino). Nomino husika huwa haitajwi katika sentensi. Kwa...
Wakuu salaam, tunaendelea na mada yetu ya aina za maneno katika andiko hili tutatazama vitenzi kwa upana wake. Tutaangalia dhana ya vitenzi kwa ujumla pamoja na aina zake. Twende pamoja tujadili. Ruksa kuongezea maarifa.
VITENZI
Vitenzi ni maneno yanayoarifu kuhusu jambo linalotendwa au...
Subalkheir ndugu zangu,
Baada ya andiko lililopita kufafanua aina mbalimbali za maneno (Soma hapa: Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili) nikaona si vyema kuwaacha hewani. Kama nilivyoahidi kuja na ufafanuzi wa undani wa aina moja moja ya maneno, katika andiko hili tutaangalia aina za...
Salaam Wakuu,
Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja moja kwa upana wake. twende kazi hapa chini:
Kabla hatujaenda kiundani kuelezea aina za maneno kwanza...
Habari wapendwa natumai wote ni wazima wa afya! nawsalimu kijamhuri ya muungano wa tanzania....!
kiukweli sidhani kma naongea jambo geni au lisilojulikana, ila napenda tu kugusia kwa kuona halipungui zaidi ya kuongezeka.
Llugha ya kiswahili inamchanganyiko wa lugha kubwa ya biashara ambayo ni...
Jitihada za kipekee zilizo fanywa na hayati JPM kataka kuhakikisha vyombo vyetu vya utoaji Haki yaani; Mahakama, DPP na Polisi vinatumia kiswahili badala ya kiingereza.
Msukumo mkubwa ulifanyika na kisha sheria zilibadilishwa ili kuhakikisha Lugha ya Kiswahili inatumika kikamilifu ktk...
Haya ni magazeti kutoka kampuni moja yaliyotoka leo June 16th. Lakini vipaumbele vya habari vimetofautiana sana. Habari kuu kwenye kiswahili[Mwananchi], ni Kesi ya Sabaya [Siasa] huku kwenye la kiingereza [The citizen] ni habari ya Usafirishaji (Biashara & Uchumi), huku habari ya Sabaya ikiwa...
Ndugu wanaJF, unahitaji kuhaririwa habari au ripoti yako kwa Kiingereza au habari, ripoti, dissertation (BA, MA, PhD), paper au translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili kazi nzuri kwa bei nafuu. Kama jibu ni ndiyo, basi tukutane inbox.
Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule
Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2]
Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
Hii naamini ni settings tu
Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu
Aina ya simu Redmi
Nisaidieni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.