Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili.
Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili.
Watumiaji wengi wa...
Askari huyo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayeenda kwa jina la Daniel Warioba alijaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya tukio hilo lakini hakufanikiwa.
Uchunguzi wa tukio hilo la kutisha lililotokea Mlandizi Mkoani Pwani bado unaendelea na taarifa kamili itatolewa na mamlaka husika...
Habari wadau..!!
Mambo yamekuwa magumu maana wife anatafuta nafasi ya internship au kazi ya kufundisha masomo ya lugha kwa DsM.
Mwenye connection ya kibabe tuyajenge ,maana mjini hapa kama hauna connection hata kwenye msiba unaweza usile.
Nawaombeni wadau tusaidiane kwenye hili jamani,maana...
Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada.
UPDATES:
---------------------
Maana yangu ni kwamba kuna watu wana PhD kingereza hawajui sasa nauliza Thesis waliandika kwa kiswahili?
HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI
My fellow Americans, the people of this nation have spoken.
They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.”
We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
Huwa tunatumia sana hili neno katika mchezo wa mpira tukimaanisha (TIMU MBILI MASHUHURI ZA MJI MMOJA ZIKIKUTANA NA KUCHEZA PAMOJA) ndo tuna sema DERBY.
Sasa hili neno DERBY tumelizoea sana kanakwamba watu wengi wanaliona kama ni neno la Kiswahili kumbe Kiingereza.Msaada kwa anaejua kuliweka...
Kumekuwa na matumizi mabaya ya kukera ya simu.
1. Mtu anakupigia simu hujapokea anaendelea kupiga tena na tena. Ukija mpigia baadaye unamuuliza shida nini anakwambia alikuwa anakusalimia tu. Ukiona umepiga simu mara moja mtu hajapokea acha usumbufu. Tulia akiwa Ok atakupigia.
2. Mtu hakudai...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania, eti;
Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili?
MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR...
Nimemsikiliza Katibu ya Tume ya Uchaguzi NEC Mr. Kawishe akihojiwa na Channel 10.
Huyu jamaa anazijua Sheria za NEC na moja ya sheria hizo ni kutumia lugha ya Kiswahili kama official language kwene Kampeni na mtu akitumia lugha zingine kama KABILA FULANI anakuwa amekiuka Maadili na anatakiwa...
Hizi ni tunda zinaitwa Ngoda,miiti yake ni mikubwa kama miparachichi tu. Kwa mwaka zinatoka mara 1 tu misimu ya miezi ya 12 mpka mwezi wa kwanza mwanzoni.
Ladha yake ni chachu kwa umbali kama embe dodo ambalo halijaiva vizuri yani ina ugwadu kwa mbali. Ukila nyingi sana hutaweza kutafuna kitu...
Kiswahili: Tanzania offers to assist Botswana
By Jacob Mosenda
Dar es Salaam. Tanzania said yesterday that it would cooperate in every possible way with Botswana after the southern African nation announced plans to start teaching the Swahili language as a subject in schools.
On Tuesday, the...
Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday.
At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be...
Wakuu habari
Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini si kiswahili na watumiaji ni waswahili. Iko hivyo kwenye kila bidhaa na zingine zinazalishwa...
Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
Habari
Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi?
Tujifunze lugha na tuienzi, Kiswahili kitukuzwe
Kiswahili hakijaenea leo wala jana kuingia Bara na sehemu nyingi za Afrika kwa ukubwa kiswahili kilienea karne ya 20 (Wakati wa wakoloni hasa waingereza na wengineo).
> Shughuli za kiuchumi hasa biashara ilisaidia pakubwa lugha ya Kiswahili kupiga hatua katika karne hiyo ya 20. Nami Nafikiri...
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.
Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.