Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amelitaka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), kuwasajili wafasiri, wakalimani na wataalamu wa lugha ya alama, ili kuboresha matumizi fasaha ya Kiswahili na kuzuia upotoshaji.
Pia, amewataka BAKITA kuwabana wachapishaji wa...