Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai linapitia katika hatua kadhaa na hatua iliyopo ni hatua ya makubaliano kati ya Serikali na Serikali...
Prof. Kitila mkumbo ameshindwa kujibu hoja kuhusu mkabata anaanza kuviingiza vyombo vya ulinzi kwenye mambo ambavyo havihusiki navyo, kwani wakati mnaingia huo mkataba mlilijulisha Jeshi? kwanini leo mambo yameharibika ndiyo mnataka kulitaja Jeshi.
Ombi langu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
WAZIRI PROF. KITILA MKUMBO - TUKIONGEZA UFANISI TUTAFAIDIKA ZAIDI NA BANDARI ZETU
"Wenzetu wamepeleka sumu nyingi kwa watu na hawataki tuiondoe, tulikuwa tunawaangalia wakadhani CCM haipo, CCM ipo, serikali ipo na watu wake tupo tutafanya kazi hii (ya kutoa elimu kuhusu uwekezaji wa bandari)...
Tanzania na Uwekezaji
Barua ya wazi kwa Mhe Kitila Mkumbo, Waziri wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango
Mhe Kitila,
Hongera kwa uteuzi wako kuongoza Wizara hii muhimu.
Umepata ubatizo wa moto na sio mafuta kufuatia “ishu” ya uwekezaji kwenye Bandari na Seikali ya Dubai.
Nionavyo malumbano...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu.
Pia soma >
Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
bandari
dp world
kitilamkumbo
kukamilisha
kuondoa
kwenda
lawama
mali
mipango
mkumbo
ubinafsishaji
uuzwaji
uwaziri
watanganyika
wazanzibari
waziri
world
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Kitila Mkumbo kuwa Waziri. Aidha amefanya mabadiliko madogo ya miundo katika baadhi ya Wizara.
---
PROF. KITILA MKUMBO AWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji na kumteua...
ashatu kijaji
ateuliwa
basi
biashara
dkt. ashatu kijaji
haya
hii
kitilamkumbo
mambo
mawili
mkumbo
shutuma
taarifa
uteuzi
viwanda
waislamu
waziri
waziri wa uwekezaji
wizara ya uwekezaji
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo
"Miaka ya...
MBUNGE PROF. KITILA MKUMBO - MAARIFA YAPATIKANE KWA LUGHA MBILI & LUGHA ISIWE KIKWAZO KWENYE KUPATA ELIMU
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema ni muhimu maarifa yapatikane kwa lugha ya...
Picha: Prof. Kitila Mkumbo
Habari Prof!
Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo.
Mbona leo shida ya maji bado ni kubwa sana? Ile ilitosha kwenye kitu gani au Ubungo tu?
ANGALIZO...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi.
Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi.
Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
Habari Wakuu!
Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni.
Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
Mwalimu Kitila Anasema Kwamba
Mapambano ya katiba mpya hayapaswi kuongozwa na wanasiasa, yanapaswa kuongozwa na Civil societies.
Ikitokea mfano mchakato ukiwa umeshikiliwa na ChademaTz,mimi kama mwana CCM siwezi kuunga mkono kwa sababu intially ntakuwa suspicious kwamba wanataka kunitoa...
Maoni ya Kitila Mkumbo kuhusu issue ya Halima Mdee na Wenzake yanaonyesha anatambua akina Halima wapo Bungeni kinyume Cha Sheria na kwamba Chadema walifanya sahihi kuwqfukuza.
Anatumia lugha ya picha kujificha kwenye kura ya wazi huku akijua Hata ndani ya bunge matumizi ya kura ya wazi ni...
Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko.
Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa...
Mawazo aliyoyatoa mbunge wa ubungo kilita mkumbo kuhusu kufuta cheo cha afisa elimu kata ni mazuri na yana tija kwani shughuli wanazofanya hao watu zinaweza kufanywa na mwalimu mkuu, au mkuu wa shule na tena serikali ikaokoa kiasi cha pesa kwani wanalipwa posho ya madaraka laki mbili na nusu...
Pro kitila leo kamwaga nondo za kufa mtu ushauri wake serikali ikiuzingatia tutafika mbali sana.
Ukianza na degree ya ualimu iwe miaka minne for freshers Yaaani form six na diploma iwe miaka 3 ni wazo zuri kwanza itandoa mrundikano wa wanaopanga foreni kusubiria ajira kwani miaka itakuwa mingi...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amezungumzia upungufu wa Watumishi wa Umma katika Sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya, Kilimo, Maji na Kilimo akisema Serikali haina budi kuja na Mikakati mipya kutatua tatizo hilo
Amependekeza kufanyika Ukaguzi wa Taifa (National Audit) ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.