kitila mkumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Prof. Kitila Mkumbo ataka bajeti ieleze namna inavyoshughulikia mfumuko wa bei

    Mbunge wa Ubungo akichangia katika bunge la Bajeti leo amesema ongezeko la bei linaloendelea mtaani sio la kawaida. Amesema ongezeko lililopo sio makosa ya serikali hata hivyo ni muhimu kwa serikali kuchukua hatua za dharura kudhibiti ongezeko hilo Ameshauri wizara ya fedha kuja na hatua rasmi...
  2. Q

    Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  3. L

    Rais Samia umenifurahisha kwa kuwapiga chini Kitila Mkumbo na Mwita Waitara

    Hawa jamaa ni wanafiki kupita maelezo , kwanza walikua upinzani wakaamia CCM muda mfupi wakapata teuzi huku wafia chama wakiachwa.Hawa jamaa walibebwa na Hayati JPM.Binafsi umenifurahisha sana kwa kuwapiga chini. Naomba kamati kuu ya CCM wasiwapitishe kugombea ubunge na hata udiwani, waache...
  4. This is...

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo...
  5. N

    Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Professor Mkumbo ==================== ==================== CV ya Proff. Kitila Mkumbo...
  6. P

    Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
  7. Analogia Malenga

    Prof. Kitila: Hatujapunguza kodi kwenye bia za Kawaida

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema serikali imepunguza kodi kwenye bia zinazotumia shayiri ya Tanzania 100% Amesema malalamiko ya kusema zimepunguzwa kwenye bia na kupelekwa kwenye miamala ni kutoelewa Amesema dhumuni la kushusha kodi ni kuwezesha uanzishwaji wa kiwanda...
  8. L

    Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

    Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo. Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea...
  9. W

    Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo kilianzishwa na watu watatu tu; Mimi, Kitila Mkumbo na Mwanaharakati mmoja wa kike

    Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni. Kwa...
  10. Papaa Mobimba

    Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula. Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema... ''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
  11. L

    Biashara ya nazi

    Biashara ya Nazi. Habari zenu wakuuu Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa. 1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es Salaam kwa jumla na rejareja. 2. Pia kama Kuna viwanda vyovyote ambavyo huwa vinahitaji nazi Kama...
  12. J

    Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za...
  13. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

    Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM. Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
  15. Cicadulina

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

  16. M

    Uchaguzi 2020 Prof. Kitila Mkumbo kuzindua kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo Ijumaa Septemba 4

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye ni mwanazuoni mbobevu na mkazi wa Ubungo kwa zaidi ya miaka 20, kesho atazindua rasmi kampeni zake kwa jimbo hilo. Prof. Kitila ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mshindi wa jimbo hili, atazindua...
  17. K

    Kitila Mkumbo Ubungo wanakudhalilisha, Waliokutoa Singida walikudanganya

    Nimeona mkutano wa Kitila Mkumbo Ubungo Maji, kwa idadi ya watu alionao na kwa nanmna viongozi wa ccm wa mashina wanavyotumia nguvu kumnadi na kuamasisha wanachama wahudhurie mikutano yake sidhani Kama atapata hata kura elfu mbili, ukiona unakosa mvuto kwa wananchi Wanaokuzunguka hata Salam...
  18. Sauti ya Umma

    Uchaguzi 2020 Mzee wa kutokomeza Mwakasaka Donard atia timu jimbo la Ubungo

    HABARI, Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
  19. The Sheriff

    Uchaguzi 2020 Ubunge Jimbo la Ubungo: Boniface Jacob aweka pingamizi dhidi ya Prof. Kitila Mkumbo kwa madai ya kukosea kujaza fomu

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
  20. feyzal

    Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
Back
Top Bottom