This goes without say. Hata humu ndani ya jumuiya yetu ya jamii forum utagundua udhahifu mkubwa sana kwenye suala la namna tunavyojenga hoja, au kujibu hoja, au kutetea hoja. Suala la kujiuliza ni zipi sababu za udhaifu wetu huu mkubwa? je ni elimu yetu mbovu? je ni jinsi tulivyokuwa groomed? je...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na Masharti ya kuiachia kuchimba madini baharini.
Soma: - Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini...
kanusho la kitilamkumbokitilamkumbo
korea
korea kusini
korea summit
kusini
kutoka
masharti
miaka
miaka 40
mkopo
mkopo nafuu
mkopo wa korea kusini
tanzania
Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano
Pili...
02 April 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ
Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
Habari wanajamvi, leo nimeona mahali Waziri wa Nchi (Mipango na Uwekezaji) Mh Prof K. Mkumbo kaita waandishi wa habari anazungumza jambo. Amezungumza juu ya nini?! Au alikua anatetea Dissertation yake? Au alikua anatabaisha mafanikio ya wizara yake? Aliyepata muda wa kumsikiliza atujuze.
Kitila Mkumbo jimbo hakiendeshwi kwa utafiti linaendeshwa kwa kupeleka maendeleo. Wananchi wamekupa dhamana unatakiwa kuwaeleza umefanya nini siyo kufanya utafiti kama mtangulizi wako alikuwa anaonekana jimboni.
Wananchi wanataka maendeleo na siyo kumwona Mbunge . Pili, nani alikutuma ukafanye...
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.
Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.
Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna...
NHC wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Nssf wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
Watumishi housing wanajenga nyumba na kuuza na kupangisha.
TBA nao wanajenga nyumba.
Hizi Taasisi haiwezekani ikapatikana Taasisi moja ikafanya hizo kazi Kwa ufanisi?.
Nashauri nyumba zote za nssf...
Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.
Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika.
Sera hii mpya inaungwa mkono na wawekezaji ambao watakuwa na jukumu la kuingiza magari mapya na pia kushirikiana na makampuni ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000)...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000).
Akifafanua...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Kazi ya Serikali si kugawa Fedha bali ni kutengeneza mazingira ya kupata Fedha na ili kupata Fedha inaamanisha Watu wafanye kazi na kazi zinatoka kwenye biashara.
Ameongeza kuwa "Kazi zinatoka wapi? Wengi...
Maelezo ya Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Akihitimisha Hoja ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo
Ijumaa, 10 Novemba 2023, Dodoma
Mheshimiwa Spika,
Ninaomba kukushuru wewe pamoja na wasaidizi wako, Mheshimiwa Musa Zungu (Naibu Spika), Mheshimiwa Najma Murtaza Giga (Mwenyekiti wa...
Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo...
Hii ni kali.
👇
"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo.
Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na.....
1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari...
Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake.
TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
Hii ni ajabu sana. Hivi majuzi eti Dkt Mwigulu aliamua kuzindua ujenzi wa barabara kutoka Sepuka hadi Ndago ili kuunganisha na Kizaga - pale junction ya barabara Kuu iendayo Magaharibi - Tabora na Shinyanga. Wakiwa katika uzinduzi huo Dkt Kitila akajinadi kuwa hawana tena siasa za majitaka kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.