Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.
====
Kitila Mkumbo ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ana phd ya Saikolojia, Maters ya Elimu...