kiwanja

  1. Plot4Sale Kiwanja cha kisasa kinauzwa: Mhandu, jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa jijini Mwanza. Wilaya: Nyamagana Kata: Mhandu Mtaa: Kisiwani (Karibu na shule ya sekondari Mhandu) Kiwanja kimepimwa na kina hati kamili ya umiliki. Size: 30 kwa 30 (hatua za miguu za mtu mzima. Kina tripu 4 za mawe. Kimezungushiwa fensi. Umeme na maji vipo. Fensi...
  2. Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni

    Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
  3. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Bomba mbili

    Habari wana JF! Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea). Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla hujafika Gongo la Mboto), Dar Es Salaam . Kwa maelezo zaidi na alie serious kuinunua njoo pm.
  4. Y

    Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  5. Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Dodoma Mkonze

    Sokoni leo na land point tunakiwanja Mkonze ambacho kipo kalibu kabsa na huduma zote za kijamii kama maji, umeme, n.k bei na bei yake ni Milion 8 tu ukubwa wake ni SQM 1456 wasiliana nasi kwa 0753 236 012
  6. Kiwanja kikali chenye watoto classic Dar es Salaam

    Wakuuuu poleni na majukum. Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam . Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki...
  7. B

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa-Chanika Mwisho, Zogoali 5.5m

    Sifa za kiwanja 20*20m Kina msingi wa kisasa Vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning na jiko Kinafikika kwa gari Umeme na maji vipo karibu Mazungumzo mengine yapo
  8. INAUZWA Je, unahitaji kiwanja au nyumba ya kununua jijini Mwanza?

    Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu.. kununua kiwanja/viwanja kununua nyumba karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k) Mawasiliano; 0744033555
  9. Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

    Habari wanajamii forums, Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa. Ahsanteni.
  10. Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Goba Centre

    Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami. Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking) Bei - Tshs Milioni 15 [ Maongezi yapo] Uhalali wa Umiliki wa kiwanja; Leseni ya maudhiano ya serikali ya mtaa...
  11. Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kinondoni Mabwepande

    *HABARI NJEMA KUHUSU VIWANJA VYA KIMBIJI VILIVYOPIMWA NA KUUZWA KWA MILION 1.5* Baada ya mwitikio mkubwa kuliko idadi ya viwanja vilivyokuwa vinauzwa kigamboni kimbiji mtaa wa golani nyuma ya kiwanda cha cement (nyati). Mmiliki wa eneo Mr.kilala amekubali kuongeza block jingine la viwanja 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…