Habari
Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000.
Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe.
Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi. Nimerudi mwisho wa mwezi wa 9 ila ilikuwa sijapata fursa ya kwenda kwenye kiwanja changu.
Jana...
Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO.
Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI.
Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi.
Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30.
Bei ni milioni 14
Nyaraka Serikali za mitaa.
Huduma zote za kijamii zipo
0762282526
Habari wakuu
Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja.
Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama.
Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8
Kwa maswali...
Salaam Wakuu
Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.
Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni.
Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
Salama wakuu?
Nauza kiwanja Mtwara Mjini bei 6Milioni.
-Kipo magomeni, 1 km kutoka stendi kuu ya mabasi Mtwara.
-kuna banda watu wanakaa
-kipo jirani na chuo cha afya COTC
-Kimepimwa sqm 317 na hati ya wizara ninayo.
-Tambalale,barabara,umeme na maji vipo hapo hapo.
Mawasiliano 0769476225
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000.
Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco.
Mawasiliano :+255766042214
Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000.
Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco.
Mawasiliano :+255766042214
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023.
Rais wa...
Habari zenu,
Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge, Kange, Pongwe etc.
Kwa yeyote alokuwa nayo naomba uniambie.
Asanteni.
Salam wakuu,
Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20.
Kimepimwa(surveyed)
Bei ni Tsh. Milioni 3
Plot number 594
Location: Morogoro, Mkundi.
Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake
Kina ukubwa sqm 850
Kipo mita 30 kutoka barabara kuu
*Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga
Umeme ushafika hauhitaji nguzo
Madrasa ya Qurani yapo hapohapo
Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1)
Bei Tsh...
Kiwanja kinauzwa tegeta wazo ,sehemu inaitwa Kontena.500m kutoka barabara kuu
Ukubwa:Sqm 2879
Number ya kiwanja 201
Bei :90m
Mazungumzo ruksa
Hati ipo
Njoo DM kwa ambaye yupo serious.
Mm
Wakuu Kiwanja kinauzwa.
Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele.
Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa.
Ukubwa ni 20 × 20.
Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia.
Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal.
Kama unahitaji, comment hapa...