kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Dudumizi

    Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia. Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala...
  2. mama D

    TBT - nyimbo za kizazi kipya zilizowahi kubamba

    Jioni imekua murua sana na burudani ya Muziki wetu wa bongoflava
  3. Mtondoli

    CHADEMA ya sasa ni ya kizazi cha watu waoga sana

    Inawezekana mkanipinga kama ilivyokawaida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli. Chadema hii ni ya vijana waoga sana sana, wako Dkt. Slaa CHADEMA walikuwa wakitangaza maandamo yanakuwa maandamano kweli. Watu walikuwa wanasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kushiriki maandamano. Si kwamba...
  4. RWANTANG

    Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

    Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
  5. Venus Star

    Denilison left winger hatari (Kwenye kizazi cha Dhahabu cha Brazil)

    Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil. Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
  6. sky soldier

    Wanaume wa kizazi cha sasa wengi ni legevu, hali inatisha sana

    Nyakati ngumu hutengeneza wanaume imara, wanaume imara hutengeneza nyakati zenye wepesi, nyakati zenye wepesi hutengeneza wanaume legevu, wanaume legevu hutengeneza nyakati ngumu. Kukosa mazoezi - wengi wapo kwenye viti makazini au darasani muda mwingi, kutembea ni kidogo sana usafiri umekuwa...
  7. Bowie

    Jenerali Ulimwengu ni Nyerere wa kizazi kipya

    Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu. Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja. Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako...
  8. William Mshumbusi

    Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

    Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
  9. F

    Kwanini ndoa za kizazi hiki zinabagua ndugu?

    Dondoo za kuzingatia katika mjadala:- 1. Ndoa nyingi zimeacha kufanyika baraka kwa ndugu (Charity that does not begin at home). 2. Ndugu za mwanamke akiishi katika ndoa anatoboa kimaisha kuliko ndugu wa mwanaume. 3. Mwanaume akifa jibu ni moja tu kwamba ameuawa na mwanamke, mwanamke akifa...
  10. GENTAMYCINE

    Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

    Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao. GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na...
  11. Hell is real

    Huu ndo ukweli kwa kizazi chetu

    Habari zenu wakuu!! Ukitafakari dunia tulionayo mda so mrefu duniani itachomwa moto na itaondoka kama ukurasa Warumi 1:26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; Warumi 1:27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha...
  12. F

    Uhitaji wa Kizazi Kipya cha Uongozi wa Upinzani haukwepeki?

    Uhitaji wa kizazi kipya kabisa cha upinzani chenye agenda mpya, dira mpya na mwelekeo mpya wa kisiasa haukwepeki tena kutokana na kwamba CCM chini ya Mwenyekiti wake rais JPM kilichukuwa mwelekeo mpya kabisa wa kujihuisha kama chama kongwe duniani kilichobeba dhima ya uhuru wa nchi yetu na wa...
  13. Altae04

    Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  14. Jaji Mfawidhi

    "Jaji Mwenzangu Luvanda" Machozi ya samaki majini hayatakufikia wewe na kizazi chako mpaka cha nne, tekeleza maagizo

    Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe? Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum. Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
  15. K

    IGP wa kizazi hiki ni kazi ya kisiasa

    Kazi ya IGP imekuwa kama vile kazi ya siasa siku hizi. IGP ndiyo kiongozi wa kubambikiza kesi, kutesa wapinzani, kuzuia katiba isitekelezwe, kuongoza mauaji kama watu kupotea na kupigwa risasi. Lakini kwasababu hii IGP mfano Sirro imefikia wakati ana dharau mawaziri kwasababu ya mila zake za...
  16. Fundi Madirisha

    Kila aliyehusika na kupotea kwa Ben Saanane na Azori Gwanda laana imtafune yeye na kizazi chake

    Hili wala hatutaki kukificha kwa sababu kila siku tukiwakumbuka ndugu zetu hawa tunabubujikwa machozi yaliyojaa maumivu makali na huenda hata damu hutokea kwenye machozi haya. Tunajua waliohusika na kuwapoteza hawa watu ni wanadamu na wala si wanyama, Laana ya mwenyezi Mungu iwatafune milele na...
  17. kacnia

    Sababu ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti wa kizazi kipya hii hapa (based on research)

    Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo, Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia...
  18. kasanga70

    Kuna hatari kizazi hiki kikaaminishwa kuwa Tundu Lissu ni moja ya Watu wabaya na sio wazalendo kwa Taifa

    Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli. 1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe. 2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo...
  19. GENTAMYCINE

    Jihadhari na 'usanii' huu wanaoutumia watoto wa shule za msingi kujipatia pesa toka kwa watu wazima

    Katika Kuonyesha kuwa Watoto wa Kizazi cha akina Kikwete na Magufuli huenda wakawa ni Werevu kuliko Kizazi chetu cha akina Nyerere na Mwinyi wameanza kuwa ' Wabunifu ' katika Kujipatia Pesa kwa ' Style ' ya Kipekee kabisa. Wanajikusanya Watoto kama Watano (5) hivi kisha wanakaa katika njia...
  20. J

    Sera ya CHADEMA inasemaje kuhusu Wasanii hususani wa muziki wa kizazi kipya?

    Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa. Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa. Sera za Chadema sijajua zinasemaje. Mwenye nazo atujuze Tafadhali. Nawatakia Sabato yenye baraka!
Back
Top Bottom