kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Kuchapiwa ni jambo la kiuokoo/kifamilia (kiroho zaidi). Fanya yafuatayo kuepuka kizazi chako kuchapiwa

    Nimeandika uzi huu baada ya suala la Haji kutamalaki. Ni hivi kuchapiwa mke most of the time huwaga ni laana ya familia, ukoo au hata kabila. Ndio maana ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu kuhusu wanaume wanao chapiwa utagundua kwamba katika familia au ukoo wa mwanaume huyo kuna historia ya...
  2. Kamanda Asiyechoka

    CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  3. tpaul

    Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

    Habari zenu wadau wa elimu? Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Awali ya yote napenda ku declare interest kuwa mimi ni mwanafunzi wa zamani na mshauri wa masuala ya elimu ninayefanya kazi na kampuni ya Shuledirect. Kwa hiyo, ushauri ninaotoa hapa ni wa kitaalamu na...
  4. R

    Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  5. opondo

    Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  6. B

    Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

    Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa. Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka? 1. Sauti ngumu. 2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya...
  8. NetMaster

    Ronaldo aendelee kusugua benchi, Aaache kizazi kipya kifanye maajabu, kumlazimisha acheze ni kupunguza uwezo wa timu

    Nina uhakika kwamba Vijana wa ureno wapo moto sana, waachwe waendelee kupewa nafasi kwa hakika Ureno inaweza kufika hata fainali. Ronaldo akae bench, Fullstop, hana jipya dimbani Tatizo linapokuja ni kwamba fans wa Ronaldo wanachukia wakiona Timu inashinda huku Ronaldo kasugua benchi :) :)
  9. Chura

    Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

    Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta. Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
  10. JosephNyaga

    Kizazi cha 1980s ndiyo Kizazi cha Dhahabu

    Umezaliwa lini? Baada ya 1995? Basi kuna mambo matamu ulipishana nayo. Pole. Kizazi cha 80s ndicho kizazi kilichoshuhudia mwisho na mwanzo wa mambo mengi. Watoto wa 80s ni wale waliozaliwa mwishoni mwa 70s mpaka mwishoni mwa 80s. Ndicho kizazi kilichozaliwa katikati ya mpito wa mabadiliko ya...
  11. tpaul

    Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
  12. Sildenafil Citrate

    Wizara ya Afya kuzindua Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Nov 26, 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Novemba 26, 2022 watazindua upya utoaji wa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi nchini kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya aina hii ya saratani. “Tulianzisha sisi chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana (HPV vaccine), ikaanza...
  13. Active

    NADHARIA Vyakula vya mbegu vya GMO vipo kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi

    Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi. Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Usikubali Mtu akaandika Historia yako. Andika mwenyewe Kwa ajili ya watoto/kizazi chako

    USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO. Anaandika Robert Heriel Baba Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba, Babu, Baba yake Babu. Babu yake Babu. Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Hizi njemba(hawa ma-legend) za JF zinatufanya kizazi cha sasa tuonekane tuna upeo mdogo wa kufikiri

    Kwema Wakuu! Nimeanza kufuatilia JF tangu 2010 hivyo mpaka sasa ni miaka 12. Hivyo ninauzoefu WA kutosha na mambo ya humu ndani. Ingawaje kipindi kile yaani 2010-2013 nikiwa sekondari nilikuwa Kama msomaji tuu lakini bado ninakumbukumbu nzuri ya mambo yalivyokuwa. Nakiri kuwa humu JF kuna...
  16. kali linux

    Hizi Software 3 hazitokuja kupata mshindani wa kuzipindua kizazi hiki

    Hello bosses.... Kwa mizunguko mizunguko nlopitia baada ya kufanya kazi na watu kadhaa kwenye field ya software dev nmekuja gundua (in my opinion) kuna software hizi 3 hata itokee alternative gani kizazi hiki hazitokuja kuwa replaced. Kiufupi hizo ni:- 1) BLOOMBERG TERMINAL 2)MICROSOFT EXCEL...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

    Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo. GMO ni nini? Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au...
  18. H

    Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

    Habari za wakati huu wanajamiiforums! Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli. Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi! Wengi wa...
  19. J

    Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  20. aka2030

    Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

    Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap 1. Nacha 2. Stamina 3. Young Lunya 4. Chid Mentary 5. Tommy Thomas
Back
Top Bottom