kizazi

Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    Kwa sasa Afrika haina kizazi kama cha akina Samuel Doe na Thomas Sankara. Waafrika wataumia sana na kuibiwa na mafisadi

    Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa. Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake. Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na...
  2. Ali Nassor Px

    SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

     UTANGULIZI Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha. Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni...
  3. Dr. Wansegamila

    DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa. Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa sita za usiku. Nilianza kujisikia hali ya ganzi upande wa kushoto wa kifua, na mapigo ya moyo kwenda...
  4. M

    SoC03 Kupiga Hatua za Mbele katika Elimu: Kuvunja Mipaka na Kuunda Kizazi cha Wanafunzi Wenye Ubunifu

    Utangulizi Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
  5. Expensive life

    Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

    Wanaume siku hizi tumekuwa wazuri hadi tunawazidi wanawake.
  6. Expensive life

    Kipi ni kizazi bora kati ya 1980’S- 1990’S?

    Ndugu zangu, kizazi kipi hapa ni bora, 1980’S - 1990’S watoto wa 2000 hii mada haiwahusu.
  7. Hismastersvoice

    Rais Joe Biden wa Marekani ni kizazi cha Ireland

    Kama alivyokuwa Obama kizazi cha Kenya ndivyo alivyo Biden kizazi cha Ireland na Rishi kizazi cha India. Rais Joe Biden ataitembelea Ireland na kuzuru maeneo ya kizazi chake. === US President Joe Biden will return to his roots in County Mayo on Friday on the final day of his visit to Ireland...
  8. BARD AI

    Waliomuua na kumtoa kizazi mtoto wahukumiwa kunyongwa

    Watu wawili, akiwemo mganga wa kienyeji, Mbwana Makamba, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtoto, Samira Said (4), kisha kumtoa kizazi na kuondoka nacho. Waliohukumiwa adhabu hiyo ni Richard Kimweri (43) ambaye alikuwa mlinzi na mkazi wa eneo la Makaburi ya...
  9. Gan star

    VIDEO: Hayati Magufuli tutaishi naye moyoni mpaka kizazi cha tatu na cha nne

    Performance za kibabe za huyu Mwamba hakuna mtu anayeweza kutia Maguu. Jamaa ni Legendary, ngoja mda wetu wa kuchukua madaraka ufike tutaelewana tuu, wacha wazee wataabishaji waishe kwanza.
  10. mama D

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  11. AbuuMaryam

    Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  12. Msitari wa pambizo

    Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  13. G

    Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

    TUACHE KUJIPA MOYO, NDOA KWA KIZAZI CHA SASA NI GEREZA LA MATESO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Soma Kwa Utulivu; Linatesa Wanawake Linatesa wanaume; Lakini Kwa nini? Ili ndoa iwe ndoa kweli sharti ifuate mfumo wa kizamani, hilo nimeshalieleza kila mara. Kwa sababu ndoa misingi yake...
  15. Balqior

    Kimahusiano, naona kama miaka ijayo tutakuja kutengeneza kizazi cha ajabu sana

    Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na hali gani.. Inaanza taratibu kama utani, wanaume wengi wanaanza kampeni ya kupinga ndoa, hata...
  16. Analyse

    Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Hiki kisa kimenisikitisha Mno, wazazi kizazi hiki kimeharibika, saidieni Binti zenu

    HIKI KISA KIMENISIKITISHA MNO, WAZAZI; KIZAZI HIKI KIMEHARIBIKA, SAIDIENI BINTI ZENU. Anaandika, Robert Heriel Mama mmoja amenipigia simu juzi, akanisimulia kisa hiki; " Nina Binti yangu, nimemsomesha mpaka CHUO akamaliza shahada yake ya Kwanza Mwaka 2016. Hakurudi nyumbani akatomea Huko...
  18. M

    Wizara ya Elimu Okoeni Kizazi

    Tunapongeza sana maboresho yanayofanyika kwenye Elimu yetu haswa wakati huu wa serikali ya awamu ya Sita. Mheshimiwa Rais tunaomba umwagize Waziri wa Elimu ahakikishe kuwa wanafumzi wa shule za msingi na haswa binafsi wanapata elimu inayoendana na hadhi na umri wa wanafunzi husika. Tunayo...
  19. Dr am 4 real PhD

    TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  20. Mageuzi92

    Elimu ya ujamaa na kujitegemea ni Kwamba haiwezi kurudishwa ili kukiokoa kizazi cha Sasa?

    Nilikuwa sijawa mwanafunzi kipindi Cha Nyerere na nilikuwa Bado sijazaliwa . Tukijaribu kuangalia product za elimu ya Nyerere ambao wengi wao ni wazazi wetu utagundua Kuna utofauti mkubwa kiutendaji (nikimaanisha product Zina skills nyingi za kujitegemea kuliko tulivyo Sasa hivi). Vya kale...
Back
Top Bottom