Kizazi is an administrative ward within Muhambwe Constituency in Kibondo District of Kigoma Region in Tanzania.
At the time of the 2012 census, Kibondo District had a total population of 261,331.
Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui Mungu?
Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi.
Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu...
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.
Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu...
NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima.
Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex...
INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA?
Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa Tanganyika na raia wa kawaida.
Halikadhalika na viongozi waliokuwa katika harakati za TANU za kupigania...
1. Matumizi ya pombe kwa vijana walio na umri chini ya miaka 25! Hali ni mbaya sana vijijijini na mijini. Vijana wameharibika sana na nguvu kazi ya taifa inapungua kwa kasi. Najua pombe ni sehemu serikali ilipojiegemeza kwenye ukasanyaji wa mapato lakini pia kwa kupitia hii pombe serikali...
(1) Freeman Mbowe
Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani.
Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala!
(2) Maalim Seif
Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
Na. WAF - Dar Es Salaam
Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0.
Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema:
"Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu...
"Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi...
Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.
Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia.
Kukiwa...
Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo vyuoni na hata kwenye Ofisi zao hao HESLB lakini hawasaidiwi chochote.
Imeniskitisha nimekutana na...
Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii.
From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua hiki kizazi cha hawa Baby Boomers (watu waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1940 na mwanzoni mwa miaka ya 1960 i.e 1946-1964), ni kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani.
Wengi wao, katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania, walipoingia tu kwenye...
Nimeguswa na aina ya maadili waliyonayo watoto wa kizazi cha leo, ni kama wazazi wameacha majukumu yao katika malezi.
Wakati wa malezi yetu tulifundishwa hasa watoto wa kiume shughuli zote za nyumbani, ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha. Pia kwa watoto wakiume walipewa mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.