Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana...