Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe.
Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita:
Fun base kubwa – idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi.
Wapenzi walio tayari zaidi kusupport...