kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. Kampuni inayotangaza Kombe la Dunia 2022 yapata mashambulizi ya mtandaoni

    Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano hiyo. Inaelezwa kuwa moja ya seva inayosambaza visimbuzi ilipata mashambulizi ya virusi mara saba...
  2. Nyimbo za Kombe la Dunia

    Nyimbo za Kombe la Dunia Waka Waka itabaki kuwa the best generation to generation, kwani ndiyo wimbo pekee wa Kombe la Dunia ambao haujawai chuja. Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga!
  3. Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

    Mbona kama wazungu wanatuzidi akili? Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo? Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
  4. Niliposema kabla ya Kombe la Dunia kuanza kuwa sishabikii timu yoyote ile ya Afrika nilikuwa namaanisha

    Kama akili tu za kuliendeleza kimaendeleo bara letu la Afrika kwa utajiri wa rasilimali tulizopewa na Mwenyezi Mungu tumeshindwa je, huku katika soka (mpira wa miguu) na hasa katika michuano ya Kombe la Dunia ndiyo tuweze kutoboa/kufanikiwa? Tayari Tunisia, Ghana na muda mfupi Cameroon...
  5. Naipongeza Argentina ya Lionel Messi kwa kufikia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani. Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu. Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
  6. Kombe la Dunia 2022: Senegal yafuzu kuingia Hatua ya 16 Bora

    Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A. Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila Sarr na Kalidou Koulibaly, hivyo kuungana na Uholanzi iliyoifunga Qatar magoli 2-0. Mechi za Kundi...
  7. Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  8. K

    Hizi ndizo TV zilizopewa haki ya kuonyesha michuano ya Kombe la Dunia Qatar, 2022

    Afghanistan ATN Albania RTSH Angola TPA Argentina TVP, TyC Sports Armenia AMPTV Aruba Telearuba 13 Australia SBS Austria ORFServusTV Azerbaijan İTV Bangladesh BTVT Sports, GTVToffee Belarus Belteleradio...
  9. UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

    Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani; 1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata. NB: Siyo mara zote. 2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe...
  10. Neymar hatarini kukosa mechi zilizosalia za Kombe la Dunia 2022

    Mshambuliaji huyo wa Brazil amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya Serbia baada ya kuchezewa faulo na Nikola Milenkovic. Alionekana akilia akiwa kwenye benchi baada ya kutolewa uwanjani, madaktari wamesema majibu kamili ya ukubwa wa jeraha hilo yatajulikana...
  11. M

    Kombe la Dunia 2022: Tunavikosa sana vionjo tulivyovizoea kwenye mitanange ya Kombe la Dunia

    Kukosekana kwa wachezaji fulani kwenye Kombe la Dunia kunachangia kutukosesha vionjo tulivyovitarajia. Kwa mfano kokosekana kwa mchezaji bora wa Dunia kwa sasa Benzema (mtaalam wa kutupia), kukosekana kwa Halaand (mtupiaji mwenye mabavu), kukosekana kwa Mane (mtalaam wa kutupia), kukosekana kwa...
  12. Ukitupilia mbali habari za Ushoga Kombe la Dunia, kuna Jambo muhimu la kujifunza Qatar

    .
  13. Hizi ndiyo fedha watakazolipwa Washindi wa Kombe la Dunia 2022

  14. DStv badilisheni mtangazaji na utangazaji wa Kiswahili kwenye mechi za Kombe la Dunia

    Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
  15. Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  16. Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

    Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
  17. Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

    Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa. Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho. Sasa hivi ushoga unatajwa mara...
  18. Tusiwalaumu TBC kutokurusha mechi zote za kombe la Dunia

    Husikeni na somo tajwa hapo juu. Nimeona watu wakilaumu kituo cha Taifa kutokurusha mechi zote live. Kama ulikuwa hujui TBC wamepewa idhini ya kurusha mechi za bure (Free To Air - FTA). Ili kuona mechi zipi zitarushwa na TBC angalia hapo kwenye ratiba ukiona FTA ndiyo ujue hiyo ndiyo...
  19. Mpaka sasa ni Saudi Arabia pekee iliyocheza mpira wa kuweza kubeba Kombe la Dunia

    Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta.
  20. Timu zenye vikosi vyenye thamani kubwa zaidi katika Kombe la Dunia 2022

    Uingereza inaongoza katika timu zote shiriki za michuano ya Kombe la Dunia 2022 inayoendelea nchini Qatar kwa mujibu wa viwango vya soko la wachezaji lilivyo kwa sasa. Uingereza ina thamani ya Euro Bilioni 1.5 (Tsh. Trilioni 3.5), Brazil inafuatia kwa kuwa na thamani ya Euro Bilioni 1.45 (Tsh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…