Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Itaidhamini katika mashindano ya kombe la shirikisho ambayo klabu ya yanga inashiiriki
Mkataba huo wenye thamani ya shilingi bilioni moja na millioni Mia tano utaisaidia yanga katika mashindano hayo
Jezi za yanga za shirikisho zenye nembo ya haier zitauzwa sh 50,000
Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote.
Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia.
Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea.
Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3.
Wale mashabiki wa timu nyingine...
Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain.
Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo.
Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966
Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza.
Hivi ndivyo nilivyokuja kumjua Pele.
Mwalimu Mkuu wa Kinondoni Primary School Mr. Reveta alikuwa akija darasani...
Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022.
Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea.
Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani.
Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia"
Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia.
Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
Kombe la dunia limefikia tamati.
Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo:
1. Mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo wakati wowote
2022 Argentina - Messi
2018 France - Mbappe
2014...
Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail.
Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina.
Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
TBC ni chombo umma wa watanzania kinachoendeshwa kwa Kodi za watanzania wote. Ninamshukuru waziri mwenye dhamana ya michezo, waziri wa habari na mawasiliano na Mkurugenzi wa TBC kwa kuwafikiria matajiri wao (walipa Kodi) kuwaletea matangazo ya moja kwa moja kutoka Qatar, ahsanteni sana kwa...