Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza Kesho Lubumbashi
Na Innocent Mungy, Lubumbashi.
Kongamano la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji katika sekta ya TEHAMA linafanyika kuanzia kesho tarehe 18 na 19 Oktoba 2022, jijini Lubumbashi DRC likiwa na kauli mbiu ya “Kukuza Fursa za...
Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
Wadau wa legacy leo tunalegacy yetu hapa Zanzibar inayotokana aliyekuwa rias wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa inayofanyika kwa mara ya pili na sasa inafanyika nchini Zanzibar kisiwani Unguja.
PHOTO: aliyekuwa Rais wa Msumbuji Joachim Chisano akiongea katika kongamano hilo.
Rais wa Tanzania...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Pili la kumuenzi aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa leo tarehe 14 Julai, 2022 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
JOAQUIM ALBERTO CHISSANO, RAIS MSTAAFU - MSUMBIJI
- Siwezi...
KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania
Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha.
Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais...
Kongamano la 5 la uwekezaji wa kifedha na biashara barani Afrika (FITA 2022) limefunguliwa jana nchini Tunisia, ili kuhimiza biashara na uwekezaji barani Afrika.
Akifungua kongamano hilo la siku mbili, Waziri Mkuu wa Tunisia Najla Bouden Romdhane alisema kuwa watu wapatao 3500 kutoka nchi 45...
Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wake
Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja.
Hii ndio Taarifa yao...
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.
Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI.
#KaziIendelee
#ChamaImara
#SamiaMpangoMzima.
End.
ARUSHA NA 365 ZA SAMIA.
Tunasheherekea ujenzi wa Tanzania Mpya yenye furaha, matumaini na isiyo na hofu ikiambatana na ukuzaji wa uchumi wa Nchi pamoja na uimarishaji wa huduma za kijamii.
Hakika kazi kubwa imefanyika na kazi iendelee.
#365zaSamia
#ZamuYaArusha
#TukutaneMachi19
Jana Jumamosi Februari 19, 2022 Wilayani Iramba Mkoani Singida pamefanyika Kongamano kubwa sana la Madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe. Suleiman Mwenda na kuhudhuriwa na Wadau mbalimbali wa Madini wa ndani ya Wilaya na kutoka Makao Makuu huku Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt...
Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula.
Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
Mmojawapo ni huyu anayeitwa Rehema Mugogo , ambaye tayari ana tiketi mkononi ili kuwahi Kongano hilo lililo gumzo kote duniani , litakalofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni nje ya Jiji la Dar es Salaam .
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo.
Bavicha inaendelea na makongamano nchi nzima kama ilivyopangwa .
Hapa ni Ukerewe , 10/10/2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara.
Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.